Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

kujiunga CCM ni uzalendo wa kiwango cha juu sana, kwa maslahi mapana na manufaa yako mwenywe na Taifa kwa ujumla...

kwahiyo gentleman,
ungependelea zaid kijana ajiunge na vyama vyenye mirengo ya magenge ya kiahalifu ili akasote lupango kama wale jamaa waliotiwa nguvuni huko mbeya?🐒
Ikiwa wale ni wahalifu vipi wale wa mbogamboga wanaokwapua mabillion kwenye fedha za maendeleo ya taifa na zingine zikiwa ni za mikopo kabisa? Are you in your right senses bro?
 
Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.

Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.

Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Picha tafadhali........hii habari itanoga tukiona picha ya misururu mirefu...bila hivyo ni uongo kama uongo mwingine tu 😀 😀 😀
 
Mmesababisha vijana wanaishi maisha magumu, hakuna ajira na fursa pekee imebaki kuwa na kadi ya chama ili wapate huruma ya chama waandikiwe vimemo wakapewe kazi na wengine muwasajili kwenye ile politic wing yenu pale makumbusho.
 
Na kukubalika kwenu lakni bado hujiamini kwenye uchaguzi huru na haki bila ya figisu za kutumia polccm, kupita bila kupingwa, kuteka wagombea wa upinzani, kura kuhesabiwa kituoni kwa uhuru na kila moja kuthibitisha matokeo, n.k.
 
tembelea ofisi au tawi la CCM lilio karibu nao, au tembelea wanapoboresha daftari la kudumu la wakupiga kura, utashuudia ukweli huu bayana 🐒
 
Na kukubalika kwenu lakni bado hujiamini kwenye uchaguzi huru na haki bila ya figisu za kutumia polccm, kupita bila kupingwa, kuteka wagombea wa upinzani, kura kuhesabiwa kituoni kwa uhuru na kila moja kuthibitisha matokeo, n.k.
CCM haiwezi kufanya kazi vizuri huku magenge ya kihalifu kama kule mbeya yakipanga kuvuruga amani na utulivu wa wananchi,

jeshi la police nchini limefanya kazi nzuri sana kudhibiti uhalifu ule na kuusambaratisha,

na kwa mbahati nzuri kwahuruma na maagizo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan, wahalifu wale wamekiri kutorudia tena kupanga uhalifu, na sasa wameachiwa Huru 🐒
 
Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.

Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.

Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Mko wangapi mmepewa habari hii kuisambaza? Au ni wewe mwenyewe kwa majina tofauti?
 
Mmesababisha vijana wanaishi maisha magumu, hakuna ajira na fursa pekee imebaki kuwa na kadi ya chama ili wapate huruma ya chama waandikiwe vimemo wakapewe kazi na wengine muwasajili kwenye ile politic wing yenu pale makumbusho.
epuka uvuvi na kulalamikia ajiara wakati mazingira ya biashara ni mazuri ajira za kumwaga, mashambani hali ni nzuri vijana wengi wasomi wanatajirikia huko hivi sasa, ufugaji, uvuvi, usafirishaji n.k....

msomi halafu unalalamikia ajira kweli, sasa umesoma nini gentleman 🐒

kwahiyo unapanga kwenye kujiunga na vyama vyenye mirengo ya kihalifu kama kule mbeya right?🐒
 
Mko wangapi mmepewa habari hii kuisambaza? Au ni wewe mwenyewe kwa majina tofauti?
actually,
kusambaza upendo, ukweli na uwazi hakuhitaji kua na kundi au makundi ya watu,

ni neema na Baraka za Mungu tu zinatosha🐒
 
Ikiwa wale ni wahalifu vipi wale wa mbogamboga wanaokwapua mabillion kwenye fedha za maendeleo ya taifa na zingine zikiwa ni za mikopo kabisa? Are you in your right senses bro?
mambo ya kusadikika yabaki tu kwenye kupotoshana wakati wa kupoteza muda kwenye stori na porojo kuhusu vyama vya kisiasa....

kudeal na uhalifu hakusubiri madhara kutokea wala hakuna stori na porojo na magenge ya kihalifu,

kuchukua hatua muhimu dhidi yao na kuyasambatatisha kama ambavyo imetokea mbeya 🐒

hata hivyo,
huruma ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan imewafanya wakiri kujitenga na kusudio la kihalifu na sasa wako huru 🐒
 
Back
Top Bottom