ni rahisi sana gentleman,Hivi napataje kadi ya ccm?
Nipo njiani tayari nawahi tawinini rahisi sana gentleman,
japo kadi zimeisha na maeneo mengi sana zinahitajika, lakini baada ya subra na ustahimilivu kidogo tu kadi zitapatikana na utapatiwa tena kadi ya kielektronic....
unaweza kujisajili wewe mwenyewe kupitia simu yako ya mkononi kupitia App ya CCM kama umepakua, lakini ni vizuri na muhimu zaidi kwenda kujisajilia kwenye ofisi au tawi lolote la CCM lililopo karibu nawe kwasabb utapata maelekezo ya ziada muhimu sana kuhusu CCM...
kwasabb baada tu ya kujasiliwa na kufahamika tawini kwako utaanza kushirikishwa kazi na majukumu mengine mazito ya kichama na huko ndiko fursa zilipo aise....
hebu usichelewa kufanya hivyo gentleman usiogope kabisa π
Tunajiandikisha ila kura ni Siri yetu!Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...
Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.
Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.
CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.
Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Maokoto kiasi gani na mimi niunge tela?actually,
kusambaza upendo, ukweli na uwazi hakuhitaji kua na kundi au makundi ya watu,
ni neema na Baraka za Mungu tu zinatoshaπ
Huwo uhalifu kama mnauomba mtaupata tu na mtajua sikumoja.CCM haiwezi kufanya kazi vizuri huku magenge ya kihalifu kama kule mbeya yakipanga kuvuruga amani na utulivu wa wananchi,
jeshi la police nchini limefanya kazi nzuri sana kudhibiti uhalifu ule na kuusambaratisha,
na kwa mbahati nzuri kwahuruma na maagizo ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan, wahalifu wale wamekiri kutorudia tena kupanga uhalifu, na sasa wameachiwa Huru π
Ila wewe jamaa..!Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...
Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.
Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.
CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.
Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..π
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
maslahi mapana ya Taifa Taifa, right?πIla wewe jamaa..!
Sema uchawa wako inaonesha ni wa kimaslahi zaidi, maana una kaustaarabu fulani.
Haujakaa ki-jihad kama wa Luka.
Either of the twochawa au nyumbu gentleman? π
njia ni moja tu,Kwa hiyo 2025 hatuhitaji hata zile njia zisizo halali alizozisema Nape