Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
ni rahisi sana gentleman,Hivi napataje kadi ya ccm?
japo kadi zimeisha na maeneo mengi sana zinahitajika, lakini baada ya subra na ustahimilivu kidogo tu kadi zitapatikana na utapatiwa tena kadi ya kielektronic....
unaweza kujisajili wewe mwenyewe kupitia simu yako ya mkononi kupitia App ya CCM kama umepakua, lakini ni vizuri na muhimu zaidi kwenda kujisajilia kwenye ofisi au tawi lolote la CCM lililopo karibu nawe kwasabb utapata maelekezo ya ziada muhimu sana kuhusu CCM...
kwasabb baada tu ya kujasiliwa na kufahamika tawini kwako utaanza kushirikishwa kazi na majukumu mengine mazito ya kichama na huko ndiko fursa zilipo aise....
hebu usichelewa kufanya hivyo gentleman usiogope kabisa 🐒