Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

kwan wewe kwenye huo mipasuko hapo chadema, uko upande wa chairman au vice chairman pale ili nikuelekeze maokoto utakayoyapata kisha uchague mwenyewe ujiunge upande gani πŸ’
Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!

Kwa sasa Bibi wa Kizimkazi tumbo linatokota kwa wasiwasi maana unafiki wake umekuwa peupe!
 
Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemu
 
porojo na ma story ya town sio issue h
Nape aliwavua nguo mchana kweupe.
Alichokizungumza ndio ukweli na uhalisia unaofanyika huku field wakati wa uchaguzi. (Ninazungumzia uhalisia).

Kwa kuwa muwazi na mkweli...Nape kama kweli kuna malipo kwa kusema UKWELI, basi atalipwa na muumba wake.
 
Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!

Kwa sasa Bibi wa Kizimkazi tumbo linatokota kwa wasiwasi maana unafiki wake umekuwa peupe!
kwamba imekua promoted na kua genge la kihalifu lililokua limejipanga kuleta fujo na kuhatarisha umoja amani na utulivu nchini right?πŸ’
 
Nape aliwavua nguo mchana kweupe.
Alichokizungumza ndio ukweli na uhalisia unaofanyika huku field wakati wa uchaguzi. (Ninazungumzia uhalisia).

Kwa kuwa muwazi na mkweli...Nape kama kweli kuna malipo kwa kusema UKWELI, basi atalipwa na muumba wake.
huyo ni wawapi kwani,
hali yakua chaguzi zote nchini haziendeshwi kwa maoni au mitazamo wa mtu bali katiba na sheria za nchi zilizopo....

kuamini na kufuata maoni potofu ya mtu baki saa zingine ni ushirikina πŸ’
 
Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemu
vijanaa wa Tanzania wamejitambua na kuamua kujikusanya mahali ambapo pana matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto na matarajio ya maisha yao....

wameepuka na kujitenga kabisa kujiunga na magenge ya kihalifu kama lile lililodhibitiwa jana πŸ’
 
Mkiacha akili mnembe mtaanza kufikiri vyema
 
Mboga mboga ni watu wa ajabu sana
 
Wewe ndio acha uongo........hizo vitu azikusaidii chochote.......... wote tunaishi Tanzania hii na tunajuana πŸ˜€ πŸ˜€
kwani mie nahitaji kusaidiwa nini hali ya kua kazi yangu ni kusema ukweli tu gentleman

sihitaji kuomba kuchangiwa gari wala mafuta kama wale wengine waliozoea kuomba omba mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…