Misururu ya malori zaidi ya 300 kutoka Tanzania kuingia Kenya yakwama

Misururu ya malori zaidi ya 300 kutoka Tanzania kuingia Kenya yakwama

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
LOL kila siku tunaongea bila Tanzania, Kenya ina collapse within a second

Na ndio maana hupayuka kufunga mipakani theoretically tu lakini deep down into the reality wanajua it's a largest worlds impossible especially for Tanzania

Utashangaa pamoja na kujitapa kuwa na biggest port lakini ndio vinara kupakua mzigo Tanga na Dar, 70% ya chakula kinachotumika Kenya kinatoka Tanzania

Watanzania tuzidi kuchapa kazi kama Rais wetu JPM anavyotuhimiza huku tahadhari ikichukua mkondo wake

We have lots of lazy asses around to reap bigger money from them all over.

 
Tumekuwa Taifa la watu wenye afya zisizo aminika tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu ya kawaida mkuu hata wao wakija kwetu wanapimwa hapo mpakani ila kwa kuwa sisi tuna mali zaidi ndiyo maana unaona malori ya kutoka kwetu ni mengi zaidi. Nchi zote zinazotuzunguka wanatutegemea sana mkuu. Tukifunga mipaka wanaweza kufa bure!
 
300 pekee!
Na zenye zinaingia Uganda Kila siku ni 2500!!!
At Malaba border crosses 800 while at Busia crosses 500 trucks! half of what u claim!

DELAYS
Transit cargo down 50% on slowed border clearance
Malaba border is currently handling 50 trucks or less a day
In Summary
•The Malaba and Busia borders have about 800 and 500 trucks crossing everyday respectively.
•While it used to take between four hours and 24 hours, now it takes 36 hours to 48 hours to clear a truck.
Long distance trucks line up along the Amagoro-Malaba Highway as they wait to cross the border to Uganda
'HARD TIMES': Long distance trucks line up along the Amagoro-Malaba Highway as they wait to cross the border to Uganda
Image: EMOJONG OSERE

Cargo clearance into Uganda and other hinterland countries has dropped by more than 50 per cent, a survey has showed.
This has greatly affected imports and exports through the port of Mombasa.

The border surveillance by African e-logistics firm–Kobo360 shows the mandatory coronavirus testing at the Kenya-Uganda borders of Malaba and Busia has reduced clearance for truck drivers of essential goods to less than 50 per cent.

According to the firm, the busy Malaba border is currently handling 50 trucks or less a day with traffic stretching more than 50 kilometers on either sides.

Transport sector data shows the Malaba and Busia borders have about 800 and 500 trucks crossing every day, respectively.

“We have seen significant delays in cargo clearance. While it used to take between four hours and 24 hours, now it takes 36 hours to 48 hours,” Kobo360 Kenya Country Manager Dennis Kathurima told the Star on the telephone.

This has affected truck turn-around time between Mombasa and Kampala which has increased from an average four days to 10 days.

“Truck drivers have experienced additional fuel expenses, increased mileage per trip and even truck and cargo security, which have caused an escalation in the drivers' monthly costs,” said Kathurima.

For instance, a driver on a monthly salary of Sh10,000 requires an additional Sh1,500 per day for upkeep and between Sh1,500 and Sh2,500 for securing cargo when stagnant.

The lengthy turn around times are also leading to financial pressure on haulage firms, some of which are defaulting on loans, Kobo360 notes.

The firm, however, supports the mandatory testing and measures in place to curb the spread of the virus.

Five truck drivers–two Ugandan and three Kenyans, last week tested positive for the coronavirus.

There are an average 600 to 1,000 trucks along the Northern corridor every day, mainly between Mombasa and Kampala.

Uganda accounts for more than 83.2 per cent of transit cargo to the hinterland through the Port of Mombasa with an average annual transit traffic of 7.8 million tonnes.

South Sudan takes up 9.9 per cent while DR Congo, Tanzania and Rwanda account for 7.2 per cent, 3.2 per cent and 2.4 per cent respectively, Kenya Port Authority data shows.

“Uganda remains our biggest transit destination,” KPA notes in its recent port performance report.

Yesterday, the Kenya Long Distance Truck Drivers Association renewed its call to boycott Ugandan cargo over harassment by the Ugandan authorities and members of the public.

Secretary-General Nicholas Mbugua, said Kenyan drivers continue to be labeled “corona” in Uganda, which has led to stigma.

“They are also denied access to food, accommodation and other basic needs. Our stand remains the same, let Ugandans come for their cargo at the border,”Mbugua said, “ We cannot allow such barbaric acts to continue.

He said there are incidences of violence where Kenyan drivers are beaten up. A rape case on a Kenyan driver was also reported a week ago, he said.

Kobo360 also observed stigmatization on its Kenya-Uganda transit route survey.

“Cases of drivers being denied access to basic amenities are high. They are even forced to carry their own supplies,”

Kathurima said, noting the company has had to cancel some of its deliveries to Uganda.

The Kenya Transporters Association (KTA) has also decried harassment of drivers.

“There are a lot of frustrations. We are calling on the two governments to resolve the issues which continue to hurt trade between the two countries,” KTA chief executive Dennis Ombok said yesterday.

Meanwhile, KTA remains opposed to the Sh6,000 being charged to test drivers by Kenyan authorities.

“Truck drivers are essential service provider. We don’t know why they are being charged. The government should offer these services for free,” Ombok said.

Transit cargo down 50% on slowed border clearance


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Hebu leta ushahidi ukitumia takwimu zinazodhibitisha kwamba Tz inauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya inavyonunua kutoka Kenya? Maanake pale boda Namanga huwa kuna msururu pia wa matrela ambayo yanaingiza bidhaa muhimu Tz, kutoka viwanda nchini Kenya. Madawa, Sabuni, Cosmetics, mashine na material za construction n.k. na sasa hivi kwasababu bei ya sukari kilo moja madukani Tz ni sawa na ile ya kilo mbili nchini Kenya wanabiashara wamechangamkia sana fursa hiyo.
 
Bwana weee.msitutishe FUNGENI..
wala haina haja ya kuweka vikao na magufuli.
Mnataka kufunga FUNGENI
Hebu leta ushahidi ukitumia takwimu zinazodhibitisha kwamba Tz inauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya inavyonunua kutoka Kenya? Maanake pale boda Namanga huwa kuna msururu pia wa matrela ambayo yanaingiza bidhaa muhimu Tz, kutoka viwanda nchini Kenya. Madawa, Sabuni, Cosmetics, mashine na material za construction n.k. na sasa hivi kwasababu bei ya sukari kilo moja madukani Tz ni sawa na ile ya kilo mbili nchini Kenya wanabiashara wamechangamkia sana fursa hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinazoingia Uganda toka Kenya ni "on transit", sio bidhaa zinazozalishwa Kenya, lakini zinazotoka Tanzania kuingia Kenya ni 99% bidhaa zilizozalishwa Tanzania kwa kutumika Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kingine some of the trucks go to Rwanda and DRC while all the 300 trucks at Namanga and Holili border r destined to Kenya! For us other borders Mtukula, Kigoma, Rusumo, Kabanga/Kobero r also saving the wider EAC!
 
Hebu leta ushahidi ukitumia takwimu zinazodhibitisha kwamba Tz inauza bidhaa nyingi Kenya zaidi ya inavyonunua kutoka Kenya? Maanake pale boda Namanga huwa kuna msururu pia wa matrela ambayo yanaingiza bidhaa muhimu Tz, kutoka viwanda nchini Kenya. Madawa, Sabuni, Cosmetics, mashine na material za construction n.k. na sasa hivi kwasababu bei ya sukari kilo moja madukani Tz ni sawa na ile ya kilo mbili nchini Kenya wanabiashara wamechangamkia sana fursa hiyo.
Sema ni bidhaa gani ya viwandani ya Kenya inayouzwa Tanzania kwa wingi hadi kusababisha foleni za malori toka Kenya kuingia Tanzania?, zaidi ya Sigara na Sabuni chache za kufulia na Margerine, nini tena Kenya inauza Tanzania?.

Tanzania inauza 'bulky" and important goods to Kenya, like food, industrial materials, Electric transformers, Timber and Fruits, ndio sababu kuna malori mengi yanayoingia Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom