joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kuanzia 2014 Mpaka 2017, Tanzania imekua ikitengeneza pesa nyingi kuliko Kenya, ni 2018 pekee ndio Kenya imetengeneza pesa nyingi kuliko Tanzania kwa zaidi ya $35.8M, hii ni kutokana na ukweli kwamba, Chakula cha Tanzania ambacho ndio bidhaa kubwa inayokuja Kenya, kilipelekwa Msumbiji, Malawi na Zambia.Trade kati ya Kenya na Tanzania nchi gani inamake more dollars?
Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Sent using Jamii Forums mobile app