Misururu ya malori zaidi ya 300 kutoka Tanzania kuingia Kenya yakwama

Bwana weee.msitutishe FUNGENI..
wala haina haja ya kuweka vikao na magufuli.
Mnataka kufunga FUNGENI
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnashabikia mkiwa tu huko mashambani Mkuranga, hamjui kinachoendelea kwenye boda. Boda ilifungwa zamani sana, matrela na lori za bidhaa tu ndio zinakubaliwa kuingia na kutoka. Ila hapapiti mtu kabla hajapimwa, jana madereva 14 ambao walikuwa wametoka Tz walipatikana wana virusi vya COVID-19. 9 wakenya 5 watanzania, wakenya wakakubaliwa waingie nchini na wakapelekwa 'isolation' watz wakaambiwa warudi makwao. Ole wenu maanake taarifa nilizozipata ni kwamba hao madereva 5 watanzania hawakufikishwa hata hospitalini.
 
Kwanini msizuie na malori kuingia Kenya kama kweli hamuitegemei Tanzania?, bila Tanzania kuwaletea bidhaa muhimu kwa uhai wa binadamu, wakenya wengi mtakufa kuliko mnavyokufa kutokana na COVID-19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta takwimu sio porojo za kilumumba. Mwaka jana kibiashara tumewapiga deficit ya $35.8 million na mlivunja rekodi ya miaka minne kwa kununua bidhaa nyingi zaidi kutoka Kenya. Nyingi zaidi ya zile ambazo Kenya inanunua kutoka Tz. Top product za Tz ni mahindi, maharagwe na kamba za makonge(viwonder), za Kenya ni madawa, sabuni na bidhaa zingine kutoka kwa viwanda. Taarifa na takwimu kutoka kwa TRA na BoT;Tanzania trade with Kenya turns into deficit
 
Madereva kutoka Tanzania walalamikia namna ya upimwaji wa Corona kwa upande wa Kenya – Video
Ally Juma28 mins ago
108
FacebookTwitterShare via Email



Madereva wa Malori zaidi ya sitini kutoka hapa nchini wamekumbana na changamoto eneo la Mpaka wa Namanga unaozitenganisha Tanzania na Kenya kwa kile kinachodaiwa Serikali ya Kenya kuanza kazi ya kuwapima Ugonjwa wa COVID 19 kwa mifumo ambayo madereva hao hawakubaliani nayo.



Madereva kutoka Tanzania walalamikia namna ya upimwaji wa Corona kwa upande wa Kenya - Video - Bongo5.com

MY TAKE
Wapimaji wa Kunyaland hawa-sanitize mikono!



#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Sisi tuna uwezo wa kupima corona chini ya masaa 24. Nyie je bado mnachukua siku tatu ili mpate majibu?
 
Sisi tuna uwezo wa kupima corona chini ya masaa 24. Nyie je bado mnachukua siku tatu ili mpate majibu?

Meanwhile

MY TAKE
Itabidi KQ ikabebe Mkaa Kismayo but under permission of Ethiopia's ENDF permission to enter Somalian airspace!
 
Meanwhile
Nyie hata hamna airline inayoweza kuenda Europe, mnategemea kanchi kadogo Rwanda kuwasafirishia mizigo yenu ya unprocessed raw fish. Halafu unakuja hapa kujisifu? Unashangaza jamani
 
Nyie hata hamna airline inayoweza kuenda Europe, mnategemea kanchi kadogo Rwanda kuwasafirishia mizigo yenu ya unprocessed raw fish. Halafu unakuja hapa kujisifu? Unashangaza jamani


Good as long as not KQ but any other airlines its cool by me its regional trade promotion!

#UkaidiwaKagame#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Ni utaratibu mzuri,wapime kwanza ndo waingie,kwa maana nyingine kampuni za usafirishaji zitenge kabisa wiki ya kusubiri Happ boda,,
 
Wewe hivi juzi hukuwa unajua kwamba Kenya tuna border mbili na Uganda, sasa leo ndio utakuja kutufunza kuhusu kinachoendelea kwenye border?
 
Trade ya 1970.
Mahindi,maharagwe,
Cheap stuffs.
 
Zinazoingia Uganda toka Kenya ni "on transit", sio bidhaa zinazozalishwa Kenya, lakini zinazotoka Tanzania kuingia Kenya ni 99% bidhaa zilizozalishwa Tanzania kwa kutumika Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba bidha zote zinazokwenda UG kutoka Kenya ni "transit goods". Baina ya bidhaa hizo ni bidhaa zinazotoka Kenya na Kuelekea UG. Kwa hivyo kuna bidhaa zinazotoka nje ya Kenya zikielekea UG na kuna bidhaa zinazotokea Kenya zikielekea UG. UG huwa wananunua finished products nyingi (sabuni, mafuta ya kupika na kadhalika) yaliyotengenezwa Kenya.
 
Umeona na kukiri kwamba Tanzania kwa miaka minne nyuma imekua ikiuza bidhaa nyingi zaidi kuliko inazonunua toka Kenya, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya imeuza nyingi Tanzania, hiyo ni dalili kwamba Tanzania ndiyo inauza bidhaa nyingi Kenya kuliko Kenya inavyouza Tanzania.

Sababu kubwa ya Tanzania kutouza bidhaa nyingi Kenya mwaka Jana, ni kutokana na kwamba, Chakula cha Tanzania kilikwenda zaidi katika nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe zilizokumbwa na kimbunga, mwaka huu utashuhudia jinsi "trade deficit" itakavyorudi kama ilivyokua miaka minne nyuma.

Jambo lingine ni kwamba, bidhaa tunazowauzia ni zile muhimu kwa maisha yenu na maisha ya uchumi wenu kama vile vyakula, pamba, karatasi na makaa ya mawe, gesi ya kupikia na Transformers za umeme, ninyi mnatuuzia domestic goods, sio bidhaa muhimu Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…