Misururu ya malori zaidi ya 300 kutoka Tanzania kuingia Kenya yakwama

Kwa hiyo kati ya hayo malori 1300 yanayovuka mpaka kuingia Uganda, tuyagawe kama ifuatavyo

1)Transit
Uganda, Rwanda, DRC, Burundi & South Sudan

Sasa hapo ukigawanya, ni malori mangapi yanayobeba bidhaa ziliotengenezwa Kenya kwenda Uganda?, hayawezi kufika hata 50 kwa siku. Kumbuka kwamba " finished manufactured goods are not bulky".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanauza FMCG mpaka leo!
 
Tusianze kubahatisha. Hatuna data ya kuamua haya mambo. Hadi tupate data ya kutosha ndio tuamue kiasi gani kinatengenezwa Kenya na gani kinatoka nje.
 
Wewe mke wako akunyang'anye hio simu kwa siku mbili tu tuone jambo gani litafanyika. Pengine utajinyonga kwa kumiss kusearch mambo ya Kenya, your favourite hobby. Unapenda kenya kushinda mke wako. We are so flattered.
 
Kama Kenya ingefanya vivyo hivyo, hamgekosa kupayuka kwamba KQ imekufa na haezi saidia Kenya. Lakini ATCL ikizhindwa kazi baada ya kununua ndege eti ni undugu... hypocrisy
ATCL haijaanza safari za Ulaya, haina kibali cha kutua katika nchi za Ulaya ndio sababu tunatumia ndege zengine, tukianza kwenda huko tutatumia ndege zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi wakenya huu ugonjwa bado amjauelewa kama unao lakini hakuna tatizo kiafya mpaka unapona bila kujua kama unaugua sasa kupima watu wazima wakati dawa hakuna ni kupoteza wakati waendelee kuchapa kazi wakiugua ndiyo waende kupima

Send by APOLO 1
 
Zinazoingia Uganda toka Kenya ni "on transit", sio bidhaa zinazozalishwa Kenya, lakini zinazotoka Tanzania kuingia Kenya ni 99% bidhaa zilizozalishwa Tanzania kwa kutumika Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Can you name those products and provide a link to your source of information?
 
Kenya ni soko kwenyu, lazima mung'ang'ane kuuza, ata kama nikupitia njia ya magendo, utapata wale wenye kufanya hiyo biashara ni wachache mno with Kenyan middlemen na corrupt police wanakula pesa mingi, nyinyi wengine karibia 99% memezubaa kishenzi, no wonder Dar looks like a big village ukitembea mitaani, watu wako hovyo! Tanzania kama nchi hamna mahali pa kuuza kwa wingi na kutosheka, mumezungukwa na nchi masikini wa kutupwa kama nyie, ila with good fertile agricultural land, so u dont have dependable market kama Kenya, haswa wakati kama huu ambapo uchumi dunia yote ime slow down, mnakimbiza bidhaa Kenya angalau mpate hela ya kununua chupi na sukari.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we rule EAC hate us if u want, truth remains[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Corona is seriously exposing your weaknesses.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…