Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Pale mke anapolishwa huku anamsimanga mumewe, mume akienda anaanza kulia lia
 
Aende zake bakhresa anaitaka kama leo ila alitumia bahasha na uzoefu wa familia yake kuwarubuni wajumbe akapewa team na mpambe wake manara simba ni brand aondoke tu mabosi kibao wanaitaka sio hela zake mpaka achungulie.
 
Simba wanamkata na Mbet wa 26B, hizi ni pesa nyingi kuendesha timu!! Hofu je ni kweli hizo pesa zipo au ndio ilikuwa janjajanja yakuonesha Simba imepanda thamani au lah!!. Wacha iendeleee kunyesha....
Hata kama zipo wahuni ni wengi sana watazipiga mpaka CHAMA wetu atakosa hela ya breakfast.
 
Huyo kigwangala mnafiki tu mbona huko ccm watu wanakula hela nje nje mbona ahoji zinaenda wapi baada ya kubanwa maslahi yake ndo kaanza harakati za kumkejeli mo dewji
 
Aende zake bakhresa anaitaka kama leo ila alitumia bahasha na uzoefu wa familia yake kuwarubuni wajumbe akapewa team na mpambe wake manara simba ni brand aondoke tu mabosi kibao wanaitaka sio hela zake mpaka achungulie.
We unasema tu unadhan ni rahisi mtu kuweka hela
 
Huwa najiuliza. Hakuna wana Simba elfu kumi Tanzania kila mmoja kuchangia TZS 100,000 kwa mwaka ikapatikana bilioni moja?

Labda hiyo haitoshi.

Je, hakuna wapenda Simba laki moja tuka changia kila mmoja laki moja kwa mwaka ikapatikana bilioni 10.

Au hatupo wapenda Simba milioni 1 tukachangia kwa michango au kuwekeza TZS 100,000 katika hisa ikapatikana 1,000,000*100,000 yaani TZS 100,000,000,000?

Na kama ni ngumu sababu za tabia zetu kushindwa usimamizi na janjajanja nyingi, mbona tunataka wengine ndio wawekeze na kuhoji kwingi ilhali hata 500 hatutoi?

Hizi klabu zetu zitakuwa na mafanikio ya misimu tu.

Klabu pekee ikiamua kufanya kweli na ikafanikiwa ni Azam FC peke yake. Hao wengine ni kama mihemko ya uchaguzi tu.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Wao Simba walimpa nini Mo, Simba Ina assets zipi, value ya brand ni sh ngapi, msileye ujinga Simba na Yanga hamna kitu ni timu za kipumbavu sana. Hizo timu ni za wazaramo, waluguru, wakwere, wandegereko basi wengine wote tunajipendekeza
 
Tatzo ni uwepo wa viongozi wapigaji mkuu.Unakumbuka mchango wa NANI ZAIDI?Issue ya Uwanja imeishia wapi Italian watu walitoa hela?
 
Wao Simba walimpa nini Mo, Simba Ina assets zipi, value ya brand ni sh ngapi, msileye ujinga Simba na Yanga hamna kitu ni timu za kipumbavu sana. Hizo timu ni za wazaramo, waluguru, wakwere, wandegereko basi wengine wote tunajipendekeza
Nimecheka kwa sauti
 
Wewe kama sio shabiki acha walio wapenzi waumie, unatakaje kuwapangia watu vitu vya kupenda??. Wewe ambaye huumii unachangia nini?.
Ganda la muwa la jana......
 
Una hasira kwani wewe ni mvaa vikuku na bikini kama barbra?
 
Binafsi mm ni Yanga damu damu lkn kuna faida gani endapo mtani atakua hoi? Nani ataleta ushindani?
Nawaombea kwa Mungu msimbazi hali iwe shwari na waimarike. Uimara wa Simba ni uimara kwa yanga. Yanga bila simba hakuna kitu na vice-versa.
 
Unajua mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…