Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 237
Mkitaka kumkomoa bidhaa zake zote sokoni susieni.
Mwaweza Sema Zina sumu.
Atapotea mwenyewe
Mwaweza Sema Zina sumu.
Atapotea mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact mkuu but ndo hivyo tena tumechanganyikiwa.soon wachezaji wataanza kuondoka mmoja mmoja.Binafsi mm ni Yanga damu damu lkn kuna faida gani endapo mtani atakua hoi? Nani ataleta ushindani?
Nawaombea kwa Mungu msimbazi hali iwe shwari na waimarike. Uimara wa Simba ni uimara kwa yanga. Yanga bila simba hakuna kitu na vice-versa.
Hapo sasa anatamani na yy kulaHuyo kigwangala mnafiki tu mbona huko ccm watu wanakula hela nje nje mbona ahoji zinaenda wapi baada ya kubanwa maslahi yake ndo kaanza harakati za kumkejeli mo dewji
Sahihi kabisa..Tatizo la hizi team ni zaidi ya mpira japo zimekaa kisiasa ila lengo ni Watanzania waache kujadili mambo ya msingi yahusuyo maisha yao na serikali yao wajadili Simba na Yanga na hilo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa ndio maana kwenye vijiwe vingi vya kahawa mada zao nyingi ni Simba na Yanga yaani hali si shwari.
Muuzieni Mudi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumuuzie nani?
Mkuu ondoa shaka Simba haitatetereka..Simba is there to stay tena itakua bora zaidi ya jana.Binafsi mm ni Yanga damu damu lkn kuna faida gani endapo mtani atakua hoi? Nani ataleta ushindani?
Nawaombea kwa Mungu msimbazi hali iwe shwari na waimarike. Uimara wa Simba ni uimara kwa yanga. Yanga bila simba hakuna kitu na vice-versa.