Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Akili maandazi ...hovyo kabisa Tanzania.
Unawezaje kumlaumu Dewj.. leo hii..

Nani amewahi kuwa serious na club zaidi ya Mo Dewj..?
Huyu jamaa simba ikifungwa anaumwa...
Halafu mla mihogo anajifanya kuongea ongea , kulaumu laumu.

Yaani utopolo wanatamani itokee then washangilie
 
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!

Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?

Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.

Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.

Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.

Simba Nguvu moja.
Jinga wakubwa mashabiki zaidi ya 10M mkitoa buku buku kila mwezi ni shs ngapi mpaka mmtegemee mwanaume mmoja? 10,000,000,000 mnashindwa nini?
 
Akili maandazi ...hovyo kabisa Tanzania.
Unawezaje kumlaumu Dewj.. leo hii..

Nani amewahi kuwa serious na club zaidi ya Mo Dewj..?
Huyu jamaa simba ikifungwa anaumwa...
Halafu mla mihogo anajifanya kuongea ongea , kulaumu laumu.

Yaani utopolo wanatamani itokee then washangilie
Ni roho za kimasikini tupu
 
Simba Sc ni taasisi kubwa sidhani kama itashindikana kupatikana mwekezaji mwingine atakayeipush simba sc, Mo anasusa ili tukamsujudie na hapo ndipo anapotupiga yule janja janja.
Nakubaliana na wewe, kuna kitu kinatafutwa hapa. Tangu katikati ya msimu iligundulika usajili haukuwa mzuri timu ina mapungufu mengi. Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake. Hapana, ni hela zake lakini kuna wakati sahihi wa kufanya haya na si sasa.
 
Chupli mlio wa ng'ombe "MOOO" hawezi kujitoa Sembe aka Nganda wakati baba Kelvin (mshauri Mkuu wa bodi ya wakurugenzi) bado anavuta oxygen.
Akitaka kujitoa tu atatishiwa kuvujishiwa picha alizopiga wakati amevishwa kanga.
Yule ni mateka wa kudumu.
 
Hivi hii Simba si ilikuwepo toka mwaka 1938 huyu Mo alikuwepo hata kuwepo wakati huo hata baba yake tu labda hakuwepo, sasa Simba itakufaje kisa kaondoka.
 
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!

Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?

Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.

Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.

Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.

Simba Nguvu moja.
Siku wanaonesha mfano wa check ya 20b mkashangilia, tukawaambia ombeni bank transfer/bank slip kama kweli hela zimeingia, mkaona tunawachulia, kulia kupokezana!
 
Nakubaliana na wewe, kuna kitu kinatafutwa hapa. Tangu katikati ya msimu iligundulika usajili haukuwa mzuri timu ina mapungufu mengi. Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake. Hapana, ni hela zake lakini kuna wakati sahihi wa kufanya haya na si sasa.
Anauza hisa alizinunua lini?
 
Habari ni za uongo za kuokoteza mitandaoni habari za ukweli zipo kwenye App ya Simba hata hao Wachambuzi wanawalisha matano pori mashabiki.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!

Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?

Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.

Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.

Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.

Simba Nguvu moja.

Hii habari ni UONGO
 
Kuna watu humu ukisikia wanaongea kwa kukaza shingo unaweza kudhani ni mashaabiki kindaki ndaki wa Simba kumbe ni mameee wa Jangwani. Tuache mambo ya kishamba ya kuchafuana.
 
Back
Top Bottom