Gfav
JF-Expert Member
- Oct 7, 2022
- 378
- 669
Kwa hasira nilizonazo sina mda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc.Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu.Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%.Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi?Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji.Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji.Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Pale mke anapolishwa huku anamsimanga mumewe, mume akienda anaanza kulia lia