Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!

Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?

Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.

Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.

Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.

Simba Nguvu moja.
 
Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie magoti kigwangala!!.
 
Kigwangala alipokuwa anahoji mlimkashifu na kumuona lopolopo fulani!!, Tuliwaambia hapa hakuna tajiri akawa na mapenzi na timu nje ya kutaka kunufaika mwenyewe. Mkawa mnasema Mohamedi ni Simba damu anajitolea 😅😅, haya Sasa nendeni mkapmpigie kigwangala magoti.
Mkuu huu siyo mda wa kuchekana.Wezako tunaumia kuona timu inaenda kupotea
 
Hasara roho

Najiuliza hizo timu mnazoshabikia za Ajax, Liverpool, Barcelona nk.... huwa mnaingiaga kwenye mikutano yao ya maamzi?

Unamiliki Timu Tanzania mpaka unaumwa ukifungwa. Je uliwekeza shs ngapi kununua hisa?

Wabongo acheni upuuzi wa kujifanya mnamiliki simba au yanga kupitia kadi zenu za uanachama.

Soka haliwezi kukua kwa akili za kijinga kama hizi
 
Back
Top Bottom