Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Jana nilikuwa naongea na moja ya wananchi washio Arusha.
Ktk kupiga stori za hapa na pale aliniambia visa na matukio ambayo mimi binafsi yamenitisha na kuniumiza kichwa.
Usalama wa Wananchi Arusha hasa mitaa ya Tengeru umekuwa Mdogo.
Kuna matukio ya kiharifu yametokea kati ya Tarehe 12 na 15 mwzi juni 2024 ambapo watu kadhaa wamevamiwa na kuporwa mali zao na wengine kuumizwa.
Kwa kuwa ni Tetesi hazina uhakika lakini tunaamini kilio cha wananchi hawa ni cha kweli na kuiomba Mamlaka ya mkoa kuchukua hatua zinazostahili.
Maeneo yaliyoathirika zaidi kwa mujibu wa habari hizo ni Tengeru, Magorofani na Chama
RC Paul Makonda ni mahiri kwenye utendaji wa kazi.
Alikomesha Panya Road Dar Es Salaam. Tunaomba please na Arusha ipate utulivu.