KERO Mitaa ya Tengeru Arusha vibaka wanapora na kuumiza watu. Hatua za Haraka zinahitajika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kumbe Tengeru panazidi Mitaa yote
 
Pana uwezekano mkubwa wala si kikundi bali ni mtu moja tu tena kijana mdogo tu.

Arusha mwaka jana ilitikiswa na kijana mdogo Dangote.

 
Inakuwaje hii sasa?
Hapo magorofani kwenye ofisi za tarura hizo nyumba walipewa polisi waishi hapo
Na kituo cha polisi kipo tu hapo Tengeru sokoni lakini kwa sababu viongozi wa mitaa hiyo wanaendekeza waizi ndio maana wizi umehshamiri

Kule Sing'isi wanakijiji waliamua kudhibiti wizi ukaisha kwenye mikutano ya kijiji waizi wauza bangi na gongo walikuwa wanatajwa kwa majina.
 
Kwa hiyo Kituo cha polisi hakina kazi
 
Sio Tengeru tu, Arusha nzima kuna hawa wanaojiita Tatu Mzuka ni hatari sana katika usalama wa Wananchi na mali zao
 
Basi tengeru imekua kubwa mbona niko hapa kila saa saa nasijasikia tukio?
 
Basi tengeru imekua kubwa mbona niko hapa kila saa saa nasijasikia tukio?
Hapo magorofani watu wameibiwa sana asubuhi asubuhi na usiku tatu mzuka a.k.a wadudu wapo mitaa hiyo.
 
Hapo magorofani watu wameibiwa sana asubuhi asubuhi na usiku tatu mzuka a.k.a wadudu wapo mitaa hiyo.
Nimeuliza wadau wameniambia kuna wadada kadhaa wameibiwa na watu walio kwenye pikipiki.
 
Vibaka nao wame shindwa kushuka apo makumira kwa wanachuo wana komaa na wavuta bangi wenzao wa tengeru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…