Mitaa yetu mingi haina nafasi za wazi kwaajilli ya kupumzika. Huwa unaenda wapi kupunga upepo?

Binadamu sio kisiwa kwamba kila kitu awe nacho sehemu moja muda mwingine kubadilisha mazingira ni muhimu kwa afya ya akili
Ndio maana MO alikamatwa akiwa anaenda gym sio kwamba anashindwa kuiweka nyumbani kwake
Hilo sikatai, lakini nyumba yako na backyard yako ni muhimu sana kwa outdoor na indoor recreational activities
 
Mbona Zanzibar tu hapo zipo recreation parks nzuri tu na ili ujue tu watu wanazipenda sana. Nilikuwa naona jinsi mida ya mchana na jioni, weekends watu wanavyoenda kupumzisha akili zao huko.
Hapo sawa kama ni recreation park, ila mimi ukinipeleka bar kuzungumza issue za maana naona michosho sana, mimi kuzungumza na makelele ya muziki mambo ya faragha siwezi na concentration haiwezi kuwa kubwa
 
Mkuu unapajua Dolly Estate? Kuzuri sana kule.
 
Kuna sikukuu moja ilinisikitisha sana. Nilipita hapo Manzese darajani kundi la watoto wamekaa kwenye paving chini ya daraja ndio sehemu wanakula sikukuu. Kama kungekuwa na Park mitaa ya kati kwao wasingekuja kukaa barabarani na kuhatarisha maisha yao.
 
Hii kitu nilikua naongea na mtu Jana, Yani hata mazoezi vitu ambavyo ni vya muhimu serikali ilishashindwa kutenga maeneo, ukitaka kufanya jogging labda ufanyie barabarani bodaboda wakupapue
Hiz sidewalks za mwendokasi ni nzr kwa mazoezi. Ila bodaboda sasa . Ndo njia zao na wanaendesha wrong side. Ukikataa kupisha njia hadi unatukanwa
 
Pale mpaka magari inabidi yapunguze spidi mana ghafla tuu unaweza kushangaa mtoto yupo chini ya tairi
 
Kwa Tanzania kama mtaa wenu u a open space, inabidi huo mtaa muwe watu wa umoja, maana mkitetereka kidogo tu unashangaa mijitu ishajimilikisha.

Nimeona baadhi ya mitaa ambayo wananchi wake wako serious, wanaziwekea thamani hizi open space kwa kuzipanda garden zenye miti mizuri ya kupumzikia, viwanja vya michezo (vya kueleweka).

Ushauri. Kama mtaani kwenu hizi open space kama bado zipo, unaweza washawishi wakazi kuitisha mkutano na kuvipangia muziendeleze vipi hizi open space? Mfano; kama mfuko wenu upo vizuri mnaweka mchoraji anaplan halafu mnaifanyia utekelezaji.

Hapa ngoja niweke mfano wa jiji la New York, Central park. Watu waliostaharabika wenye akili kubwa ya kutunza mazingira na mipango miji ya kueleweka.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna diwani mmoja alikuwa kinondoni alikuwa anaitwa lupiana,ni marehemu sahv
Tulipataga mtonyo anataka
Kuweka mnara wa sim katikati ya uwanja wa kino garden
Watu waliposikia wakamshukia
Akaruka....kiunzi
Haya ma open baadhi watu waliyapigania sana kubaki

Ova
 
L

Lodge
 
Daa Diwan angekunja ml3 ivi, alafu anawaachia msala, Ndio CCM ilivyo
 
Hakuna.. Tanga ni mji uliotengengenezwa na Mjerumani..

Hata kama hujawahi kufika Tanga mwenyeji wako akikuambia anakaa barabara ya Sita nyumba namba 20 utafika bila shida.. Huku kwetu Mwananyamala mpaka uende na mwenyeji wako mara mbili au tatu ndio uijue njia..

Tanga kweli mjerumani alijua kuipangilia..
 
Hakuna.. Tanga ni mji uliotengengenezwa na Mjerumani..

Hata kama hujawahi kufika Tanga mwenyeji wako akikuambia anakaa barabara ya Sita nyumba namba 20 utafika bila shida.. Huku kwetu Mwananyamala mpaka uende na mwenyeji wako mara mbili au tatu ndio uijue njia..

Tanga kweli mjerumani alijua kuipangilia..
 
Ukiongea hivyo nasisi tutakwambia tuna mwambao wa beaches kwa wakazi O'bay, masaki, Mikocheni, kawe! Tunaongelea walio wengi kwenye viunga vya jiji!
Hzo sehemu nilizotaja nying zpo katikti ya mji na sio beach mkuu
 
Inasikitisha sana. Sehemu zilipangwa ila ujuaji, kukosa ustaarabu, rushwa, ujinga, elimu, uwajibikaji umefanya sehemu zote kuuzwa, kujengwa au kuchukuliwa na chama tawala, na kufanywa watu wa park magari, kujengwa frames na ujinga gani sijuwi!
Bongo ni kichwa maji kabisa...
 
Watoto wanaishia kucheza mitaani na vichororoni,na huko wanajifunza michezo ya baba na mama

Ova
 
Hapa unazungumzia parks. Hizo zilikuwepo enzi za Nyerere tatizo wakaja viongozi wanaojiona wajanja kumbe washamba wakauza hizo sehemu zote.
Siyo washamba tu, ni mafala kabisa, waliuza hadi park ya mnazi mmoja na sasa hata kufunguwa hawafungui inafungwa ulisikia wapi city park inafungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…