jamani natumai mu wazima kabisa mnaendelea vyema na kulisukuma gurudumu la maendeleo. nimeshangazwa sana na taarifa za kutoka IPTL eti mitambo 6 kati ya 7 imezimwa kisa hawana mafuta mazito ya kuendesha mitambo. hivi kweli hii kampuni haina long run plan? hawajui matumizi ya mafuta ya kuendesha mtambo angalau kwa siku ni kiasi gani? wanasubiri mpaka waishiwe? jamani tanzania tumezidi kwa bla bla nyingi, 6 kati ya 7 inasikitisha sana. inaonyesha it is too much politics than uendaji kazi, we are real fade up.