Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TBC Taifa saa 2 usiku, IPTL imezima mitambo 6 kati ya saba iliyokuwa ikifanya kazi kwa ukosefu wa mafuta mazito ya kuiendesha.
Lakini kuna utata kwani bwana rugonzibwa amesema wameagiza mafuta na kama wataombwa na Tanesco kuongeza umeme kwenye gridi watafanya hivyo. Hapa nina wasiwasi kuwa ili kuwa ni deal ya kuiwezesha IPTL kifedha au wanalipana kijanja kati ya serikali na IPTL.