Mitambo 6 ya IPTL yazimwa kwa ukosefu wa mafuta

Mitambo 6 ya IPTL yazimwa kwa ukosefu wa mafuta

Magezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2008
Posts
3,359
Reaction score
702
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TBC Taifa saa 2 usiku, IPTL imezima mitambo 6 kati ya saba iliyokuwa ikifanya kazi kwa ukosefu wa mafuta mazito ya kuiendesha.

Lakini kuna utata kwani bwana rugonzibwa amesema wameagiza mafuta na kama wataombwa na Tanesco kuongeza umeme kwenye gridi watafanya hivyo. Hapa nina wasiwasi kuwa ili kuwa ni deal ya kuiwezesha IPTL kifedha au wanalipana kijanja kati ya serikali na IPTL.
 
Hiki kiini macho sijui kitaisha lini yarabi! Halafu tukisema Kikwete uongozi wa nchi umemshinda na hivyo asiruhusiwe kugombea tena 2010, fisadi Makamba anatuona wehu! Bora yetu wehu sisi kuliko Makamba na akili zake timamu! Kwa hiyo nchi inarudi tena kwenye kiza kingine kinene!
 
jamani natumai mu wazima kabisa mnaendelea vyema na kulisukuma gurudumu la maendeleo. nimeshangazwa sana na taarifa za kutoka IPTL eti mitambo 6 kati ya 7 imezimwa kisa hawana mafuta mazito ya kuendesha mitambo. hivi kweli hii kampuni haina long run plan? hawajui matumizi ya mafuta ya kuendesha mtambo angalau kwa siku ni kiasi gani? wanasubiri mpaka waishiwe? jamani tanzania tumezidi kwa bla bla nyingi, 6 kati ya 7 inasikitisha sana. inaonyesha it is too much politics than uendaji kazi, we are real fade up.
 
Mafuta ndo yameisha!! mgao ndo unatishia kurudi!!! Mafuta litre 1 sh ngapi!!!?? Zinaitajika litle ngapi!!!?? na mwanzo zilinunuliwa ngapi!!?
JAMANI IVI TWALAAA AU TWALIWA!!?
 
Mafuta ndo yameshaisha!! mgao ndo unatishia kurudi!!! Mafuta litre 1 ivi ni sh ngapi!!!?? Zinaitajika litle ngapi vile..!!!?? na mwanzo zilinunuliwa ngapi vile..!!?
JAMANI IVI TWALAAA AU TWALIWA!!?
 
Hii inaonyesha vile viongozi wetu na watendaji walivyo kuwa BOGAS hivi inamaana hawakujua mafuta yatatumia mudagani kwisha? Na baada ya hapo watafanya nini?
 
Back
Top Bottom