Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kwan vilivyopo havitutoshi mkuu???.Hivi Azam TV au U FM wana kipindi chochote cha nyimbo za Gospel za kikristo...!!?
Hujajibu swali.....unahamisha magoliKwan vilivyopo havitutoshi mkuu???.
Na hata hizo gospel kwenye tv mnaa bas kuziangalia??
We acha tu! Inabidi ucheze sebene analocheza bosi ili mkono uende kinywani.Nawashangaa tu hao watangazaji wao wanavyojishebedua kuitaja hyo Christmas kwa shangwe wakat zaman hata walikuwa hawathubutu
Kweli kuajiriwa ni utumwa
Tuwapongeze mwaka huu kwakweli Kuna mabadiliko🤣🤣Nawashangaa tu hao watangazaji wao wanavyojishebedua kuitaja hyo Christmas kwa shangwe wakat zaman hata walikuwa hawathubutu
Kweli kuajiriwa ni utumwa
Na wasipofanya tutasema vile vile🤣🤣Kila watakalofanya mtasema 🤣🤣
Yaan hata kama walifanya bahat mbaya itaonekana walikusudia tu. Mwaka juz nao vipi mkuu? Waliweka au hawakuweka?Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI,
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..
Kwamfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa makusudi neno "Christmas" na badala yake wakatumia neno sikukuu
"Tunawatakia Heri ya sikukuu na mwaka mpya"
Lakini mwaka huu CHRISTMAS imetaradadi huko Azam tv
Basi burdani kwa wote
Hakuna mwaka azam wametoa airtime ya kutosha kwa Christmas kuliko mwaka huuYaan hata kama walifanya bahat mbaya itaonekana walikusudia tu. Mwaka juz nao vipi mkuu? Waliweka au hawakuweka?
Ili mashetani yafufuke?Hivi Azam TV au U FM wana kipindi chochote cha nyimbo za Gospel za kikristo...!!?
si masuperstar..😂Kila watakalofanya mtasema 🤣🤣