Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
- Thread starter
- #21
Nimeiangalia hiyo IONII mwanzo mwisho...Tena wanaweka na ile movie yao ya vikatuni ione leo usiku naomba nipate nguvu ya kuiangalia maana mimi na Bongo movie ni maji na mafutaView attachment 2852360
Kwa maoni yangu ni movie Moja mbovu kuwahi kuiona katika umri wangu huu