Mitandao inahifadhi kumbukumbu.

Mitandao inahifadhi kumbukumbu.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Wewe ukitaka kujua wanawake/wanaume wangapi unepita nao hadi sasa na umejiunga JF zamani anza PM ya kwanza kuja juu.

Ukitaka kuwajua kwa picha zama dropbox kama unayo.....kama haufuti.

Ingia kwenye accounts zako kama facebook zama PM za mwanzo.

-kuna karoho katakuambia huyu alikuwa mtamuu....sijui nimecheki.

Nawasalimu...asalaam.
 
Wewe bado bikra?
Aise bikra" kwa maana sijawahi kula papuchi hata za mtaani [emoji1][emoji1][emoji1] "

Embu ngoja nijitahidi labda na mimi nitabahatika kutoka na binti yeyote humu ndani.
 
Aise bikra" kwa maana sijawahi kula papuchi hata za mtaani [emoji1][emoji1][emoji1] "

Embu ngoja nijitahidi labda na mimi nitabahatika kutoka na binti yeyote humu ndani.
Hao wa mtaani si mnatumiana picha?

Ziangalie toka za 2010 sasa.
 
Back
Top Bottom