Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wewe ukitaka kujua wanawake/wanaume wangapi unepita nao hadi sasa na umejiunga JF zamani anza PM ya kwanza kuja juu.
Ukitaka kuwajua kwa picha zama dropbox kama unayo.....kama haufuti.
Ingia kwenye accounts zako kama facebook zama PM za mwanzo.
-kuna karoho katakuambia huyu alikuwa mtamuu....sijui nimecheki.
Nawasalimu...asalaam.