Khaa na hawakuwahi kujuana 😂Khaaa....
Bora tu iitwe private message siku ikiwa public sijui tutajificha wapi.
[emoji13][emoji13][emoji13]ulitisha.Kuna wakati nilikuwa na mabwana watano kwa mpigo humu JF mpaka nilifunga PM
Nimebaki na mmoja nae ninaona anaelekea kuniacha[emoji13][emoji13][emoji13]ulitisha.
Umewaacha sasa, au bado unao?
Aise bikra" kwa maana sijawahi kula papuchi hata za mtaani [emoji1][emoji1][emoji1] "Wewe bado bikra?
Anaeleta mahaba jukwaani ninakaushaHuyu yangu aje aniambie PM nipo mwenyewe tu...hata kama ni uongo...ila atanipa moyo.
Kabla hajakuacha jitahidi umuache wewe[emoji13][emoji13][emoji13]Nimebaki na mmoja nae ninaona anaelekea kuniacha
Hao wa mtaani si mnatumiana picha?Aise bikra" kwa maana sijawahi kula papuchi hata za mtaani [emoji1][emoji1][emoji1] "
Embu ngoja nijitahidi labda na mimi nitabahatika kutoka na binti yeyote humu ndani.
Ngoja nijaribu kuangalia kwenye google drive.Hao wa mtaani si mnatumiana picha?
Ziangalie toka za 2010 sasa.
Wengine walidhani wana hati miliki ya daisy LliliesHahaha....
Unamwambia babe sipendi mapenzi ya show off...jukwaani nina member naheshimiana nao...hahaha
Na hapo huna hata miezi mitatu toka ujiunge,bora ulifunga tu hiyo PM maana ungetumaliza wote sio kwa speed hiyo.Kuna wakati nilikuwa na mabwana watano kwa mpigo humu JF mpaka nilifunga PM