Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Ndugu usisahahu pia Magufuli aambiwe ukweli kwani yeye mwenyewe amejijengea mazingira ya kuhisiwa. Tabia zake na serikali yake vinalazimisha yeye awe miongoni mwa watuhumiwa.
 
Reactions: SDG
Yaani MTU anakwambia mbele ya watu kua wewe nitakuua; baada ya siku tatu unauwawa alafu unataka watu wasikunyoshee mkono.

Ni upambavu kiwango cha mawaziri wa Tz- by JPM
 
Reactions: SDG
Jaman Lissu mgonjwa.
Though WASIOJULIKANA hawajulikani,ila wanajijua wenyewe.
Mwisho wa siku tutakufa tu iwe sisi au WASIOJULIKANA.
Lakini hatuzuiwi kuwahisi wasiojulikana.
Hata dola huwakamata watu ma kuitwa WATUHUMIWA,na kuna watuhumiwa HUULIWA na dola kunapotokea sababu,

May Allah bless Me and You
 
Mawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.

Mh kweli Tz ingekuwa mtihani wa Taifa majibu binafsi hata wewe ungepata one. Sasa hapo mjinga wewe. Kibaraka wewe. Mpumbavu wwwe. Ukitaka Logic gani. Its more reasonable hata kuliko uhakika wa jinsia yako. Kuua mtz kama CHacha aliuliwa na mpka leo kimya. Embu tumwombee mtz mwenzetu. Its just that mtz mwenzetu. Sniper wa Serikali asingehitaji 30 risasi. Ukitumia ubongo wako wa chini. Unganisha na wa juu na Uliza na hata mmeo
 
Biashara ya Madini ni biashara ya kimafia sana katika Dunia. Na ndio maana watu wengi wanaofanya hii biashara wanakuwa na roho za kimafia sana.
Inawezekana awa watu wa madini washakubaliana na serikali tutafanya ivi. Lakini tatizo likawa Tundu Lissu, ajajua wale kwa kuwa ni mafia wanasema tuwapunguze wanaofatilia ishu

Madini==KIFO
Madini na kifo ni kitu kimojaa uwa aviachani hata kidogo
 
Kwani raisi akitaka kumuua huyo inashindikana???
Mbona atakufa kama kuku
Huyo anadhuliwa na wapiga dili wenzake walio mafichoni
Hata rais ikitakiwa kuuwawa anauwawa kwaiyo chunga maneno yako.
 
Umeandika mambo mengi lakini matatizo tunayo humu humu ndani.hao unaoangaika kuwataja unajifariji tu ila ukweli adui yetu ni sisi kwa sisi.hakuna haja yakutafuta mchawi toka mbali.hao wazungu kama wangeamua kupambana na sisi nguvu zao wangeelekeza kupambana na rais maana yeye ndo chanzo wala sio lissu.kwaiyo usituamishie magoli kirahisi ivyo.
 
Akili yako ukubwa wake haijai kisoda

Sent by Tukunyemamzee
 
Unafki sio mzuri kiongozi ukweli mchungu lazma ujaribu kuutema tu lakini fundo hata moja utalimeza naona umekunja sura kweli kweli polee sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Vita tuliitaka wenyewe. Haina haja ya kulia lia hapa.
Nakumbuka kipindi wapinzani wakiitaka serikali kuweka mikataba ya madini na gesi wazi.

Kwakua tulijawa na uchama na sio uzalendo kwa taifa letu, tulitumia nguvu nyingi kuwashambulia hawa wapinzani ili waonekane hawafai.

Leo tunaiita vita na kuwaita sio wazalendo hawa waliolaza sauti zao.

Kwakua huo ni msiba wa kujitakia, basi hakikisheni mnashinda maana mlisaini wenyewe hiyo mikataba gizani huku mkipiga makofi na kuwazomea wenye maono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ulijualo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaa
 
Usiongee unafiki ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda unajua sana mipango ya serikali kwa wapinzani hebu tuambie vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kweli kabisa mkuu, shida rais wetu ndiyo hataki kushauriwa yeye anafikiri atawaweza! rais ange watumia wakina lisu wange msaidia zaidi, masifa tu ya memjaa ngoja wamnyoshe, Nyerere aliikimbia ikulu anafiri alipenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…