Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Acha dunia ijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ww ndio una mawazo mazuriMawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.
''WASHUGHULIKIENI BUNGENI NAMI NITAWASHUGHULIKIA URAIANI''. Mwisho wa kunukuu.
Ndugu usisahahu pia Magufuli aambiwe ukweli kwani yeye mwenyewe amejijengea mazingira ya kuhisiwa. Tabia zake na serikali yake vinalazimisha yeye awe miongoni mwa watuhumiwa.Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Mawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.
Biashara ya Madini ni biashara ya kimafia sana katika Dunia. Na ndio maana watu wengi wanaofanya hii biashara wanakuwa na roho za kimafia sana.hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Hata rais ikitakiwa kuuwawa anauwawa kwaiyo chunga maneno yako.Kwani raisi akitaka kumuua huyo inashindikana???
Mbona atakufa kama kuku
Huyo anadhuliwa na wapiga dili wenzake walio mafichoni
Nimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana rais japo japo anaweza akawa hahusikiView attachment 583609 View attachment 583608
Umeandika mambo mengi lakini matatizo tunayo humu humu ndani.hao unaoangaika kuwataja unajifariji tu ila ukweli adui yetu ni sisi kwa sisi.hakuna haja yakutafuta mchawi toka mbali.hao wazungu kama wangeamua kupambana na sisi nguvu zao wangeelekeza kupambana na rais maana yeye ndo chanzo wala sio lissu.kwaiyo usituamishie magoli kirahisi ivyo.Mkuu duniani zipo nyaja tatu ambazo zinazoleta migogoro kati ya nchi na nchi au kwa wanadamu pale yanapotokea matatizo au matukio ya uharifu ,mauaji au vita
Kwa level ya nchi ni
1 Political(Siasa)
2 Military (Kijeshi)
3 Economy (Uchumi)
Wakati kwa level ya wanadamu au watu ni
1 Sex(mapenzi)
2 Money(fedha au kipato)
3 Revenge(Kulipiza kisasi)
Je nyanja zote zimeangaliwa? mm naona watu wakiwa busy kumpoint mtu au taasisi kuhusika kitu ambacho kwenye akili yangu akiingii akilini uchunguzi una nyaja 6 za kufata ambazo ni
1 immediate action
2 Plan investigation
3 Data collection
4 Data analysis
5 Corrective actions
6 Reporting
na kwenye tukio lolote kila kitu huwa ni potential je nikisema inawezekana ni mpango wa maadui zetu kutaka kutuchafua mbele ya dunia ya kistarabu kwa nini upinge? mm nakataa kabisa Lissu hajawai kuwa threat kwenye nyaja zote tatu kiuchumi,kijamii wala kiusalama ndani ya Tanganyika
Akili yako ukubwa wake haijai kisodahiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Unafki sio mzuri kiongozi ukweli mchungu lazma ujaribu kuutema tu lakini fundo hata moja utalimeza naona umekunja sura kweli kweli polee sanaWewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Hii Vita tuliitaka wenyewe. Haina haja ya kulia lia hapa.Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu
Hakuna ulijualohiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
hahahaaaJaman Lissu mgonjwa.
Though WASIOJULIKANA hawajulikani,ila wanajijua wenyewe.
Mwisho wa siku tutakufa tu iwe sisi au WASIOJULIKANA.
Lakini hatuzuiwi kuwahisi wasiojulikana.
Hata dola huwakamata watu ma kuitwa WATUHUMIWA,na kuna watuhumiwa HUULIWA na dola kunapotokea sababu,View attachment 584599
May Allah bless Me and You
Usiongee unafiki wwhiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Labda unajua sana mipango ya serikali kwa wapinzani hebu tuambie vizuriHivi kama serikali ya Magufuri ingemtaka kumuua nadhani wasingekosea. Hizo ni propaganda za kuchafua Rais wetu. Hata wao Chadema wanaweza kufanya hivyo ukiangalia vizuri kifo cha Chacha Wangwe hapana shaka nao chadema hawaaminiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweli kabisa mkuu, shida rais wetu ndiyo hataki kushauriwa yeye anafikiri atawaweza! rais ange watumia wakina lisu wange msaidia zaidi, masifa tu ya memjaa ngoja wamnyoshe, Nyerere aliikimbia ikulu anafiri alipenda?Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya Goldcorp,Barrick Gold,Eldorado Gold,Yamana Gold na Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu