Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi??
Kwa hiyo kwa andiko lako hili ni kwamba Lissu hakupigwa risasi? Si kweli kwamba amekwaruzana sana na Magufuli kiasi kwamba amekamatwa mara kadhaa na kuwekwa rumande? Kwa hiyo wangeandika kinyume cha mambo yanavyotukia?
 
Wakati mwingine kauli,na namna uhalifu unavyo shuhulikiwa pia kuna viashiria vingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyombo vya habari ni vyao, inakuwaje unawapangia cha kuandika?!
Pili kwa wanavyomfanyia Lissu na wapinzani kwa ujumla ulitegemea waandikeje?!
Kama kuchafuka tulishachafuka kitambo.., mshaurini tu huyo anayejitapa hashauriwi na mtu ili aongoze kwa kufuata misingi ya haki na katiba!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasua kichwa hii issue
 
Hata sisi kulikuwa tanayaandika mabaya ya Mobutu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
smart people ??? embu acheni conspirancy theory za kitoto!! lisu alishasema ametishiwa kuuawa toka january je makinikia yalikuwa yamekamatwa??

nape kasema hilo gari pia lilikuwa linamfuatilia je nape naye angepigwa risasi hyo cku ingekuwa na ACACIA??

kma ni kumgombanisha magufuli na raia kwanni wasimuue lowasa ama mbowe why lisu wakati magufuli katoka kutoa kauli siku ya almasi anasema "DAWA YA WASALITI WOTE TUNAIJUA".... je kwani tusiamini hyo ndio ilikuwa dawa kwa lisu.???

embu acheni utoto na je IMMA advocates nayo ni acacia??? roma?? nchi hii bhana maana hatuendelei vitu viko wazi mnajifanya security experts utafkiri upo mossad vile
 
ingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this

bado tuko hai tatizo ajira[/QUOTE]
kumchafua Rais??? embu acheni conspirancy theory za kitoto!! lisu alishasema ametishiwa kuuawa toka january je makinikia yalikuwa yamekamatwa??

nape kasema hilo gari pia lilikuwa linamfuatilia je nape naye angepigwa risasi hyo cku ingekuwa na ACACIA??

kma ni kumgombanisha magufuli na raia kwanni wasimuue lowasa ama mbowe why lisu wakati magufuli katoka kutoa kauli siku ya almasi anasema "DAWA YA WASALITI WOTE TUNAIJUA".... je kwani tusiamini hyo ndio ilikuwa dawa kwa lisu.???

embu acheni utoto na je IMMA advocates nayo ni acacia??? roma?? nchi hii bhana maana hatuendelei vitu viko wazi mnajifanya security experts utafkiri upo mossad vile
 
ACCACIA? Waliingiaje nchini? Nani aliwaleta? Walijipa wenyewe hiyo migodi? Wa kulaumiwa kuingia nao mikataba hafahamiki? Iweje wengine wanaonekana watetezi wao wakati waliingia nao mikataba wanafamika?
 
Nusuhela ulishaamini kuwa Mungu yupo? Amini amini nakwambia, Mungu yupo na ndiye aliemponya Tundu Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipoti/ripoti/report.... Sahihisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…