MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Ugonile,
Mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo kikubwa kwa watu wengi kutokuwa na utulivu wa akili. Nadhani hii hali inawakuta watu wengi katika maisha yao ya kila siku katika ulimwengu wa sasa.
Mitandao ya kijamii husababisha hali ya kujisikia vibaya, kukosa furaha na wivu hususan kwa vijana wenye tamaa wasiopenda kujituma.
Kumekuwa na mitazamo tofauti juu ya masuala mbalimbali kama ndoa, single mother, utajiri, elimu n.k ambayo kwa namna moja au nyingine imekua ikiathiri watumiaji wa hii mitandao
Mfano saiv Kijana age go anaweza tu kuamua kutokuoa ukimuuliza sababu utasikia ndoa ni utapeli kisa kajazwa sumu huko mtandaoni bila kujua hao watema sumu wenyewe wameoa 😄
Ushauri wangu;
za kuambiwa changanya na zako, za mtandaoni ziache mtandaoni.