Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mafreemason yapo at work 😝Halafu wenzetu waliogundua hiyo mitandao hawatumii kwa kiasi kikubwa hivyo
Kitu kingine kinachopumbaza watu duniani ni Football na Betting
Mpira wa miguu na kamari inawapumbaza vijana wengi hata hawafikirii kuhusu kulima wala kutumia resources zilizopo katika ardhi yao.