Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi.
Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
Acha uongo wa kirejareja, hapa ni JF, sio kijiweni kwenu huko
Kama unaleta taarifa ya idadi, au uchambuzi leta na takwimu au utafiti
Hizi hapa takwimu za matumizi ya mitandao ya kijamii
Na huko sio wote wanaoshiriki wanaakisi huu upupu ulioandika hapa, kwa maana sio wote wana misimamo sawa ya kisiasa unayopelemba hapa
Kwahiyo nenda kalete takwimu sadifu kutoka kwenye jumla ya hizi takwimu unazosema zina misimamo ya kisiasa unayoielezea hapa
Takwimu za jumla za watuamiaji wote nchini hazifiki haya asilimia 50% na humo wote sio wanaosapaoti unachikiandika hapa
Kwahiyo waliobaki ni Rwanda, Burundi na Congo, na hapa hata millioni hatufiki nchini Tanzania
,
Tukija kwenye Insta tuko millioni 5, amabyo ni asilimia 6.7% ya watu millioni 70 nchini, na sio wote wana misimamo sawa kwenye siasa kwa hiyo bado sana
Twende Facebook, ni asilimia 15%, ila sio wote wana misimamo sawa kwenye siasa.