Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.

Yeye anafaidika na matangazo na bandwith kubwa anayopata.

Mfano lucas mshamba anavyotoa habari za raisi samia hata teuzi kupewa hapewi basi muwe mna walipa.
Mnawakatisha watu tamaa.
 
Na wewe ni content creator mwanakwetu ??? Siku hizi hasa X baada ya Elon kuinunua nasikia anawalipa hawa wanamaudhui,,, ila vipengele kama vyote, kuipata hiyo hela yake nasikia sio poa !!!!!
 
Naomba kufahamu jamii forum inapataje mapato sioni matangazo ya google Ads siku hizi naomba kufahamu mapato ya wamiliki wa jf kwa mwaka
 
Jamii forum imejinasibu kama NGO so, hiyo kulipa tu kina moderator ndo hivyo watafanye mna hakuna namna. Waliowahi kufanya kazi kwenye NGO wananielew vizur
 
Sio kila maudhui italipwa bali ndio maana zina vigezo.mfano youtube pale ushaona kila maudhui yanalipa au Tiktok
Haya huenda wakachukua ushauri waanze kutulipa
Wanazuoni kama nyie ndio tunawataka kwenye uchaguzi 2025
 
Back
Top Bottom