Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado amezuia unajua tumeingia kwenye udiktetaKwani yule mwendawazimu bado anazuia hii mitandao!?
Imeniboa tangu juzi nikahis halotel wana shida!Nami pia nina tatizo kama lako. Twitter haifunguki kabisaaaa
Baada ya internet kuonekana kuminywa kipindi cha kuelekea uchaguzu mkuu na hata baada ya uchaguzi,tatizo hilo limekuwa likipotea taratibu ambao mtandao wa internet ulianza kurudi kidogokidogo katika hali ya kawaida na kuwezesha watu ku-access mitandao mbalimbali kama vile whatsApp, Instagram, facebook na mitandao mingineyo bila kusahau JamiiForums yetu.
Hata hivyo, pamoja na hali kurejea katika hali ya kawaida, inaonekana tatizo bado liko katika ku-access mtandao wa twitter, mtandao unaonekana kutumika na watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati mbalimbali.
Swali ni je,kusuasua kurejea kwa mtandao huu ni kutokana na mtandao huo kutumika na watu wengi wakiwemo wanasiasa na wanaharakati akiwemo na yule whistelblower maarufu kule twitter?
Au tatizo hili wenzangu hamlioni?
Kwa sasa unaweza ku-access twitter bila VPN?
Mimi ninashangaa yaani inazungusha tuu sipati kitu ingawa Nina Bando la kutosha. Nilidownload Twitter play Store nikawa naitumia. Kipindi cha Uchaguzi ikapotea. Baadaye ilirudi. Juzi Kati nikawa napata Post za Kizamani then imegoma haileti kitu. Anyway nitaweka hiyo VPN. AsanteniKwani yule mwendawazimu bado anazuia hii mitandao!?
Asante Kaka yangu.nitajaribu kuiweka then nitakupa Mrejesho. Ngoja ni Uninstall niliyoweka toka Play Store.#TumiaVPN
Tatizo ni yule mume wa Beyonce 2014, ndiye anayetuletea shida zote hizi za kufungiwa TwitterTwitter mpaka leo iko kifungoni au ndio rasmi haitakiwi hapa bongo
Dah kweli yule ni balaa.Tatizo ni yule mume wa Beyonce 2014, ndiye anayetuletea shida zote hizi za kufungiwa Twitter
Kwani mkuu umesahau vibano vya Clouds TV na Wasafi TV?Ni sawa na kutaka kuifungia JF kwasababu ya jukwaa moja tu nawakati 90% ya members sio wadau wa jukwaa hilo Jukwaa moja liathiri watu wa jukwaa kama 10
Nikitumia VPN simu yangu inakula sana chaji, nimeamua tu nikae kimyaa niachane na mambo ya Twitter hadi pale watakapoamua wenyewe kutufungulia.
Sijaona hilo tatizoNikitumia VPN simu yangu inakula sana chaji, nimeamua tu nikae kimyaa niachane na mambo ya Twitter hadi pale watakapoamua wenyewe kutufungulia.