Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu toa hilo neno mwindaji mbona unataka haribu sifa zangu za kijana mtulivu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila laheri mwindaji
Tunaotumia VPN inafunguka.
Anyway hii ni sababu tosha ya kumpigia kura Lissu.
Watu wanafuatilia mitandao ya jamii kuliko tv na radio zao.Aisee, hawa jamaa sijawahi ona.
Miaka ya nyuma ilikuwa wanahangaika na JF siku kama hizi, leo naona wametanua wigo.
Watu wanafuatilia mitandao ya jamii kuliko tv na radio zao.
Kwahiyo wameamua kuja kuziba access ya mitandao.
My apologiesMkuu toa hilo neno mwindaji mbona unataka haribu sifa zangu za kijana mtulivu!
Safi kijana..😅My apologies
Halafu hiyo list hebu niletee pm nione unaukweli kiasi gani isije kuwa umefananisha..😂My apologies
Kuna watu naona na humu hawaipati jf maana si kwa ukimya huu..😂nimejaribu bila vpn imekataa ila baada ya kuwasha vpn imekubali
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
VPN kwa ajili ya twitter na instagram, youtube haina shidaView attachment 1613795
Zantel Tz
Acha uongo weweMbona mm naipata vzr tu
kweli ata kwangu inazinguaWameshafanya yao mzee baba
HaipoBasi itakuwa tatizo la network, ngoja niwe mvumilivu.