Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

chief_

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
830
Reaction score
1,395
Tupeane updates...

Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee'
=====

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu.

Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa.


=====
Baada ya mitandao hiyo kupetea hewani kwa muda mfupi, sasa yarejea tena.
 
Mbona izo ista na whatsup kwangu zipo fresh tu kila kitu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…