Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Nimeangaika sna kui restore simu Ila JF & Twitter [emoji106]
 
Nchi nyingi hilo tatizo sio Tanzania tuu hakuna wa kuzima zima tena
 
Duh! Yani nimeongeza data nikidhani ni kifurushi kimeisha kumbe ni malaika wamefanya yao 😏😏😏

Katika kuhangaika kote nimejaribu Freebasics ndio nikaweza kuingia jamiiforums.
Yani MB ninazo lakini eti nitumie Freebasic
 
Nikajua tatizo liko kwangu Nimerestart simu zaidi mara 3 lakini wapi,

Kumbe ni tatizo la wao!!
 
Duh! Yani nimeongeza data nikidhani ni kifurushi kimeisha kumbe ni malaika wamefanya yao [emoji57][emoji57][emoji57]

Katika kuhangaika kote nimejaribu Freebasics ndio nikaweza kuingia jamiiforums.
Yani MB ninazo lakini eti nitumie Freebasic
Jf mbona inafanya kazi ...shida ni kampuni ya mark zuckerberg
 
Facebook, WhatsApp, and Instagram are currently down for users from around the world
 
Back
Top Bottom