Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Kanuni/Sheria za Wizara ya Mambo ya Ndani

Kuanzia kesho na kuendelea kutakuwa na kuna kanuni mpya za mawasiliano.

Simu zote zinarikodiwa.

Simu zote zinazorikodiwa zinahifadhiwa.

Whatsapp inafuatiliwa.

Twitter inafuatiliwa.

Facebook inafuatiliwa.

Vyombo vyote vya habari vya kijamii na vikao vinafuatiliwa

Waambie wale wasiojua.

Vifaa vyako vinaunganishwa na mifumo ya huduma ya wizara.

Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.

Wajulishe watoto wako, jamaa na marafiki zako kuhusu jambo hili ili wawe waangalifu.

Usitume machapisho au video yoyote n.k unayoipokea kuhusu siasa / hali ya sasa kuhusu Serikali / PM nk.

Polisi wameweka taarifa inayojulikana .. Uhalifu wa Cyber ... na hatua itachukuliwa ... futa tu ...
Acheni kudanganyana nyie wa tz
 
Na sms zinaingia tu hapa wazee
Screenshot_2021-03-19-21-14-51.jpeg
 
Yah naona hili tatizo limeanza muda si mrefu ofcoz itakua kuna shida ktk server zao hawa jamaa.....
 
Kuna tetesi kuna watu wakubwa wamedondoka ndio maana wamekataaaa
 
Back
Top Bottom