Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

mbona huku fresh wazungu wana display kama kawaida
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mimi niko vizuri kote huko.


T
Tupeane updates...

Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee'
=====

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu.

Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa.
 
Youtube kwangu hafabyi kazi toka mchana, vipi huko kwenu??
 
Mpo nchi gani nyie mbona .mimi zote zina fanya kazi vizuri tu

SUBIRI KIDOGO
 
ANGALIA BANDO YAKO UNA MB 2 alafu unataka kuzama insta we vp>?
 
litakuwa limagufuli hilo maana na kipindi Cha uchaguzi lilizima mtandao[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Umeshatoa hela ya mchango? Wa harusi ya dietRich? Pia huna mpenzi? Mbona hamna msg ya mpenzi wako au ye yana smartphone..... Asubuh ulikuwa unaumwa, vipi sasa waendeleaje? Au ulimdanganya Amanda [emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] now naendelea fresh mkuu!!! Mchango nimetoa leo, sms za mke zipo chini huwa atuchat mara kwa mara
 
Mbona jukwaa la siasa kwenye app yangu silioni? Au ni kea wote?
 
Back
Top Bottom