Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mpo nchi gani nyie mbona .mimi zote zina fanya kazi vizuri tu

SUBIRI KIDOGO
Sio wote tumeweza kuliona ...kuto liona sio kwamba halikuwepo.. sema zilirudi ndani ya mda mfupi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] now naendelea fresh mkuu!!! Mchango nimetoa leo, sms za mke zipo chini huwa atuchat mara kwa mara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mungu akusamehe 😂😂😂
Sasa ni panga pangua inaendela huko Nani kwenye zamu ya kupata mvua na juwa pengine Kenya waka kubwa na kiangazi maana wazingua kwenye mahindi juzi kati!
 
Eti wanazingua sana[emoji28][emoji28][emoji28]
Si, tengeneza yakwako mzee
Facebook, na makampuni ya western yanaruhusu construction criticism, sis watumiaji ndo tunawafanya hayo makumpuni yawe na ukwasi mkubwa

Tatizo la watanzania hatuamini kwenye good customer service, ndo maana mteja akalalamika kidogo anajibiwa hovyo, acha uzwazwa
 
Kabisa yani ... Tz hatua tuliyogikia sasa ukilalamika wewe sio mzalendo..
 
Facebook, na makampuni ya western yanaruhusu construction criticism, sis watumiaji ndo tunawafanya hayo makumpuni yawe na ukwasi mkubwa

Tatizo la watanzania hatuamini kwenye good customer service, ndo maana mteja akalalamika kidogo anajibiwa hovyo, acha uzwazwa
Kabla hujaanza kubweka lazima ujiulize kitu kimoja "hii fault" inatokea mara kwa mara au laa! Those guys have been offering an amazing services for years now!

So, kutokea kwa emergency katika operations ni kitu cha Kawaida mno na lazima tulielewe hilo!

Tatizo letu tunapenda sana kulalamika na pengine ukiulizwa solutions huna!
 
Mm mpaka sasa hivi whatsaap, insta hzifanyi kazi, nime restart simu hola, nika update apps hola, nika uninstall na Ku install pia hola...sijui ni hii tecno maana kuna mdau aliniambiaga tecno weekend ikikaribia huwa zinakawaida ya kupumzika

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kabla hujaanza kubweka lazima ujiulize kitu kimoja "hii fault" inatokea mara kwa mara au laa! Those guys have been offering an amazing services for years now!

So, kutokea kwa emergency katika operations ni kitu cha Kawaida mno na lazima tulielewe hilo!

Tatizo letu tunapenda sana kulalamika na pengine ukiulizwa solutions huna!
Malalamiko lazima sis ni wateja wao na tunatumia gharama ambazo zinawafaidisha wao, pasipo sisi wateja wao sio chochote
 
Back
Top Bottom