Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Hapa tunduma naona Kila kitu hakifanyi kazi ,mitandao you're kasoro jf ila na yenyewe ipo slow sana
 
Dahh watu mnachekesha sana jamaa analalamika utadhani ya kwake kwa kununua bando WhatsApp yake...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ye si mteja wacha alalamike na kwa hivi hawakutoa taarifa
 
Kanuni/Sheria za Wizara ya Mambo ya Ndani

Kuanzia kesho na kuendelea kutakuwa na kuna kanuni mpya za mawasiliano.

Simu zote zinarikodiwa.

Simu zote zinazorikodiwa zinahifadhiwa.

Whatsapp inafuatiliwa.

Twitter inafuatiliwa.

Facebook inafuatiliwa.

Vyombo vyote vya habari vya kijamii na vikao vinafuatiliwa

Waambie wale wasiojua.

Vifaa vyako vinaunganishwa na mifumo ya huduma ya wizara.

Jihadharini kutuma ujumbe usiohitajika.

Wajulishe watoto wako, jamaa na marafiki zako kuhusu jambo hili ili wawe waangalifu.

Usitume machapisho au video yoyote n.k unayoipokea kuhusu siasa / hali ya sasa kuhusu Serikali / PM nk.

Polisi wameweka taarifa inayojulikana .. Uhalifu wa Cyber ... na hatua itachukuliwa ... futa tu ...
 
Back
Top Bottom