Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

Nimejarbu kuwasha VPN ila Bado tu.
But social Network zngne poa tu
 
Screenshot_20210319_205221_com.android.chrome.jpg
 
Ila what's the reason behind kuifunga hii mitandao au matatizo ya kiufundi?
 
Mwacheni mama etu hata ahusiki
 
Back
Top Bottom