100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka.
Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa? kisa interests za wachache?
Intaneti ni uti wa mgongo wa biashara za kimataifa, watu wanategemea internet kutumia PayPal, MasterCard, Visa, SWIFT transfers, na crypto platforms kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za muhimu.
Bila intaneti, hakuna uwezekano wa kufanya malipo au kupokea fedha kutoka nchi nyingine, vipi kama mtu ana mgonjwa anahitaji kutumiwa pesa za matibabu?
Wafanyabiashara wadogo wa Tanzania huuza bidhaa kwenye majukwaa kama Amazon, Alibaba, Etsy, eBay, na Jumia ina maana biashara zao zisimame?
Sasa hivi kuna kitu wanaita telemedicine, hospital nyingi Tanzania wanatumia hii huduma, sasa hivi wagonjwa hupata ushauri wa kitabibu kupitia intaneti kutoka kwa madaktari walioko hospitali za kimataifa. Daktari anaweza kuangalia matokeo ya vipimo , x ray scans, ECG n.k kwa njia ya mtandao na kutoa ushauri nini kifanyike.
Kukosa internet kunamaanisha wagonjwa kukosa matibabu kwa wakati, jambo linaloweza kuhatarisha maisha.(Kwanini watu wafe kisa maslahi ya watu wachache?)
Faida za internet hatuwezi kuzimaliza hapa, dunia ya sasa internet ndio kila kitu, mawasiliano ndio kila kitu.