Mitandao ya simu itakayofuata maelekezo kutoka Serikalini kufunga au kudhoofisha internet ifunguliwe mashtaka

Mitandao ya simu itakayofuata maelekezo kutoka Serikalini kufunga au kudhoofisha internet ifunguliwe mashtaka

Kanuni gani inaruhusu kushusha spidi au bandwidth? Kama kuna changamoto inapaswa wataarifu wateja kuwa hakutakua na mtandao kwa siku kadhaa sababu ya uchaguzi if at all kanuni zinafuatwa otherwise kwenye sheria ya ushindani ya Fair competition Act inakataza refusal to supply au coalescing kuzuia supply ya bidhaa hivyo inageuka ni kosa kisheria.

Ni makosa kisheria so majaji labda wahongwe ila haipo kisheria
Kanuni nazungumzia hao wanaotoa huduma ya intanet Wanapewa leseni ya kufanya hvy kutoka serikalini, hvy n lazima wafanye chcht watakachoambiwa na serikali.
 
Internet ikizimwa VPN utaipataje? .

Vpn lazima uwe na internet ndio uiaccess.
Nazungumzia Internet Shutdown, hapo hakuna cha vpn wala chochote kitasaidia, vpn inasaidia ku mask IP adress yako tu lakini hio itakuwa ni complete data shutdown, ambapo ni voice na SMS pekee ndipo zitafanya kazi.
Sasa wazee, em tumieni akili bc.

Internet shut down kvp wakati had mahospitalini wataathirika na hiyo kitu.
Acheni makisio ya mbwembwe, mtafungiwa hizo wasap na insta zenu tuu na sio shutdown.

Mada imeandikwa kudhoofisha, ila kwenye comment unabadili tena unasema n shutdown, Au huelewi kutofautisha kudhoofisha Na shutdown?
 
Serikali imenipa leseni ya kumuoa huyo mke?
Kwani nini maana ya cheti cha ndoa? hujui kuna Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971.

Je? haufahamu kuna watu wanafunga ndoa za kiserikali?

Kama mtu amefunga ndoa ya kiserikali, serikali ikamuambia mkewe atembee uchi mtaani kwao anapaswa kuisikiliza serikali na kutii?
 
Sasa wazee, em tumieni akili bc.

Internet shut down kvp wakati had mahospitalini wataathirika na hiyo kitu.
Acheni makisio ya mbwembwe, mtafungiwa hizo wasap na insta zenu tuu na sio shutdown.

Mada imeandikwa kudhoofisha, ila kwenye comment unabadili tena unasema n shutdown, Au huelewi kutofautisha kudhoofisha Na shutdown?
Nimeandika kudhoofisha ama kufunga.
 
tatizo ni amri, wewe kama mzimaji huwezi kukataa amri, vinginevyo uwe tayari kwa lolote
 
Zifunguliwe mashtaka na nani, na zihukumiwe na mahakama ipi wakati watakuwa wamefuata kanuni walizopewa na serikali.?

Anyway, kuna VPN, hvy kama una mambo ya msingi ya kufanya kwenye intanet bado utaweza kuendelea kupata huduma zako
Kusipokuwepo kabisa internet connection VPN itafanya kazi gani?
VPN haimzuii ISP kukukatia huduma.
Inamzuia asizifungie apps au websites fulani endapo connection ya internet ipo 'up and live'.
 
Mbaga Jr
Sasa wazee, em tumieni akili bc.

Internet shut down kvp wakati had mahospitalini wataathirika na hiyo kitu.
Acheni makisio ya mbwembwe, mtafungiwa hizo wasap na insta zenu tuu na sio shutdown.

Mada imeandikwa kudhoofisha, ila kwenye comment unabadili tena unasema n shutdown, Au huelewi kutofautisha kudhoofisha Na shutdown?
Mbaga Jr bro. Hosp wanatumia LAN kushare Files zao.
LAN hata kukiwa na 1G speed kazi inaendelea.

Whatsapp na Instagram hawawez fungia coz ni third part.
Na pia wakifungia TZ tu bas mtu anaweza tumia VPN kuiaccess hizo app na zikafanya vizur kabisa.

Kwahiyo Njia pekee ni kuminya access za internet nchi nzima. Na ndio watakachofanya.

Mm nakumbuka vizur 2020.
Siku karibia 4 internet na kupiga sim na sms ilikuwa ni shida sana. Sasa imagine mwaka huu. Itakuwa mara 10 zaid.

Kwahiyo tujiandae.
 
Mada inasema internet shotdow, Sasa kama n hvy hy LAN itafanya vp kazi
 
Back
Top Bottom