100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Tutakutana nao mahakamani.Hayo yote wahuni hawajui mjuba. Wale ni washenzi wakiamua watazima na hakuna wa kuwafungulia mashitaka. Tuombe wasizime au kudhoofisha mitandao isije athiri shughuli zetu
Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka.
Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa? kisa interests za wachache?
Intaneti ni uti wa mgongo wa biashara za kimataifa, watu wanategemea internet kutumia PayPal, MasterCard, Visa, SWIFT transfers, na crypto platforms kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za muhimu.
Bila intaneti, hakuna uwezekano wa kufanya malipo au kupokea fedha kutoka nchi nyingine, vipi kama mtu ana mgonjwa anahitaji kutumiwa pesa za matibabu?
Wafanyabiashara wadogo wa Tanzania huuza bidhaa kwenye majukwaa kama Amazon, Alibaba, Etsy, eBay, na Jumia ina maana biashara zao zisimame?
Sasa hivi kuna kitu wanaita telemedicine, hospital nyingi Tanzania wanatumia hii huduma, sasa hivi wagonjwa hupata ushauri wa kitabibu kupitia intaneti kutoka kwa madaktari walioko hospitali za kimataifa. Daktari anaweza kuangalia matokeo ya vipimo , x ray scans, ECG n.k kwa njia ya mtandao na kutoa ushauri nini kifanyike.
Kukosa internet kunamaanisha wagonjwa kukosa matibabu kwa wakati, jambo linaloweza kuhatarisha maisha.(Kwanini watu wafe kisa maslahi ya watu wachache?)
Faida za internet hatuwezi kuzimaliza hapa, dunia ya sasa internet ndio kila kitu, mawasiliano ndio kila kitu.
[/QUOTE
Kwao madaraka kwanza mengine baadae.
Mahakama ipi hiyo, em itaje moja wapoTutakutana nao mahakamani.
Nazungumzia Internet Shutdown, hapo hakuna cha vpn wala chochote kitasaidia, vpn inasaidia ku mask IP adress yako tu lakini hio itakuwa ni complete data shutdown, ambapo ni voice na SMS pekee ndipo zitafanya kazi.Zifunguliwe mashtaka na nani, na zihukumiwe na mahakama ipi wakati watakuwa wamefuata kanuni walizopewa na serikali.?
Anyway, kuna VPN, hvy kama una mambo ya msingi ya kufanya kwenye intanet bado utaweza kuendelea kupata huduma zako
Zifunguliwe mashtaka na nani, na zihukumiwe na mahakama ipi wakati watakuwa wamefuata kanuni walizopewa na serikali.?
Anyway, kuna VPN, hvy kama una mambo ya msingi ya kufanya kwenye intanet bado utaweza kuendelea kupata huduma zako
Jamiiforums ni mtoa huduma wa internet ?Wanapigwa faini kwa kufuata Agizo halali la jamhuri?
Itabidi tuanze na Jamii Forums sasa kama ndo hivo?
Kanuni gani inaruhusu kushusha spidi au bandwidth? Kama kuna changamoto inapaswa wataarifu wateja kuwa hakutakua na mtandao kwa siku kadhaa sababu ya uchaguzi if at all kanuni zinafuatwa otherwise kwenye sheria ya ushindani ya Fair competition Act inakataza refusal to supply au coalescing kuzuia supply ya bidhaa hivyo inageuka ni kosa kisheria.watakuwa wamefuata kanuni walizopewa na serikali.?
Hi ni hatari sana ila kwa wale wanaotumia satellite internet si wataendelea kupata huduma maana kwa hapa bongo naona ni kampuni hizi tu ndio Zinahuduma hiyo Vodacom na konnect pamoja na global ITT na starlink hii inatumika kwa kificho sana maana ukidakwa umeishaNazungumzia Internet Shutdown, hapo hakuna cha vpn wala chochote kitasaidia, vpn inasaidia ku mask IP adress yako tu lakini hio itakuwa ni complete data shutdown, ambapo ni voice na SMS pekee ndipo zitafanya kazi.
Alaa ! Kumbe starlink inawezekanaHi ni hatari sana ila kwa wale wanaotumia satellite internet si wataendelea kupata huduma maana kwa hapa bongo naona ni kampuni hizi tu ndio Zinahuduma hiyo Vodacom na konnect pamoja na global ITT na starlink hii inatumika kwa kificho sana maana ukidakwa umeisha
Makampuni yote yaliyopewa kibali na TCRA kwa kutoa huduma ya mtandao hata kama wanatumia satellite na wao watazuiliwa.Hi ni hatari sana ila kwa wale wanaotumia satellite internet si wataendelea kupata huduma maana kwa hapa bongo naona ni kampuni hizi tu ndio Zinahuduma hiyo Vodacom na konnect pamoja na global ITT na starlink hii inatumika kwa kificho sana maana ukidakwa umeisha