AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ole wao fanaleki zao waleti mzaha kwenye mambo yote ila huko wakigusa huko sasa ndio watakua wameuwasha moto ambao hawawezi kuuzimaFaida za internet hatuwezi kuzimaliza hapa, dunia ya sasa internet ndio kila kitu, mawasiliano ndio kila kitu.
Kabisa.Ole wao fanaleki zao waleti mzaha kwenye mambo yote ila huko wakigusa huko sasa ndio watakua wameuwasha moto ambao hawawezi kuuzima
Atakae washauri wafanye hivyo wamuangalie mara 3 na ikiwezekana wampokonye Passport kabisa abakie humuhumu nywaa wamezima internet hata ambao walikua hawataki kuandamana wataandama hapo ndio wataelewa vizuriKabisa.
Kanuni nazungumzia hao wanaotoa huduma ya intanet Wanapewa leseni ya kufanya hvy kutoka serikalini, hvy n lazima wafanye chcht watakachoambiwa na serikali.Kanuni gani inaruhusu kushusha spidi au bandwidth? Kama kuna changamoto inapaswa wataarifu wateja kuwa hakutakua na mtandao kwa siku kadhaa sababu ya uchaguzi if at all kanuni zinafuatwa otherwise kwenye sheria ya ushindani ya Fair competition Act inakataza refusal to supply au coalescing kuzuia supply ya bidhaa hivyo inageuka ni kosa kisheria.
Ni makosa kisheria so majaji labda wahongwe ila haipo kisheria
Internet ikizimwa VPN utaipataje? .
Vpn lazima uwe na internet ndio uiaccess.
Sasa wazee, em tumieni akili bc.Nazungumzia Internet Shutdown, hapo hakuna cha vpn wala chochote kitasaidia, vpn inasaidia ku mask IP adress yako tu lakini hio itakuwa ni complete data shutdown, ambapo ni voice na SMS pekee ndipo zitafanya kazi.
Serikali ikisema mkeo atembee uchi mtaani utakubali?Kanuni nazungumzia hao wanaotoa huduma ya intanet Wanapewa leseni ya kufanya hvy kutoka serikalini, hvy n lazima wafanye chcht watakachoambiwa na serikali.
Serikali imenipa leseni ya kumuoa huyo mke?Serikali ikisema mkeo atembee uchi mtaani utakubali?
Ikisema hivyo atasema sawa tu kwani nimetembea uchi mimi, hapo ndipo akili zake zilipoishiaSerikali ikisema mkeo atembee uchi mtaani utakubali?
Kwani nini maana ya cheti cha ndoa? hujui kuna Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971.Serikali imenipa leseni ya kumuoa huyo mke?
Nimeandika kudhoofisha ama kufunga.Sasa wazee, em tumieni akili bc.
Internet shut down kvp wakati had mahospitalini wataathirika na hiyo kitu.
Acheni makisio ya mbwembwe, mtafungiwa hizo wasap na insta zenu tuu na sio shutdown.
Mada imeandikwa kudhoofisha, ila kwenye comment unabadili tena unasema n shutdown, Au huelewi kutofautisha kudhoofisha Na shutdown?
Dah! Basi tumeisha brother ila tutaruka na starlink kipindi hiki kifupiMakampuni yote yaliyopewa kibali na TCRA kwa kutoa huduma ya mtandao hata kama wanatumia satellite na wao watazuiliwa.
Kusipokuwepo kabisa internet connection VPN itafanya kazi gani?Zifunguliwe mashtaka na nani, na zihukumiwe na mahakama ipi wakati watakuwa wamefuata kanuni walizopewa na serikali.?
Anyway, kuna VPN, hvy kama una mambo ya msingi ya kufanya kwenye intanet bado utaweza kuendelea kupata huduma zako
Mbaga Jr bro. Hosp wanatumia LAN kushare Files zao.Sasa wazee, em tumieni akili bc.
Internet shut down kvp wakati had mahospitalini wataathirika na hiyo kitu.
Acheni makisio ya mbwembwe, mtafungiwa hizo wasap na insta zenu tuu na sio shutdown.
Mada imeandikwa kudhoofisha, ila kwenye comment unabadili tena unasema n shutdown, Au huelewi kutofautisha kudhoofisha Na shutdown?
Mada inasema internet shotdow, Sasa kama n hvy hy LAN itafanya vp kaziMbaga Jr
Mbaga Jr bro. Hosp wanatumia LAN kushare Files zao.
LAN hata kukiwa na 1G speed kazi inaendelea.
Whatsapp na Instagram hawawez fungia coz ni third part.
Na pia wakifungia TZ tu bas mtu anaweza tumia VPN kuiaccess hizo app na zikafanya vizur kabisa.
Kwahiyo Njia pekee ni kuminya access za internet nchi nzima. Na ndio watakachofanya.
Mm nakumbuka vizur 2020.
Siku karibia 4 internet na kupiga sim na sms ilikuwa ni shida sana. Sasa imagine mwaka huu. Itakuwa mara 10 zaid.
Kwahiyo tujiandae.