Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.