Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
IMEANDIKWA WAPI?Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
mim nashaur.wasiwe wanasema tozo yetu kias kadhaa. cha serikal kias kadhaaMakampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
Kuna benki yoyote imesambaza huduma zake hadi vijijini ndani kabisa??!!tukubaki yaishe.
tulipe tozo.
Hapa ndio tunapopaswa kuishi kwa uhalisia wa hali yetu. Kwamba huduma za kifedha au mabenki kama taasisi, yameshindwa kuwafikia na kuwahudumia watu wote kutokana na ubovu wa mifumo ya miundombinu na pia kukosekana kwa shughuli za kueleweka na kuaminika za kiuchumi za hao watu, kiasi kwamba hizi taasisi hazioni au hazitapata faida ya kuwepo huko wakilinganisha na gharama za uendeshaji. Bado tunaamini tuko uchumi wa kati?Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.
Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
ndo kodi iwe mara mbili kwa transaction mkuu?kuna vat si ya serikali pia unazani na makato ya mitandao serikali hawachukui?usiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Boy unakwama wapi ujui watu wanamanisha vunga maana point zako azina mashikoKumbe wanga wa maendeleo bado wapo? aisee!! Tz hatari?