Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
huduma za kibenk ndio hizohizo za kifedha braza.Kwani hiz kampun zinatoa huduma za kibank au kifedha
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
lakini tukumbuke pia benki zetu zilishalalamika kuwa mazingira ya uwekezaji ktk sekta ya kibenk ni quite unfriendly.
Baadhi ya hoja zao ilikuwa upendeleo wa serikali kwa baadhi ya benki kutunza ''matrilion'' ya serikali ilihali nyingne zikikosa fursa hiyo (unfairness)
Hoja nyingne ni hiyo inayotolewa na mtoa hoja..madai yake yana msingi.
Business enviroment ya benki nchini is not as healthy as it ought to be.
Ila tena benki zetu nazo zibadilike.zibuni strategies za kuwafikia watumiaji wa pembezoni