Mitandao ya simu kazi yake ni mawasiliano, si kutoa huduma za kibenki

Tozo hii ina wanufaisha watanzania Wengi kuliko wanao lalamika.
Vile vyombo vilivyo lipwa kwa ajili ya kupinga makato haya ya simu virudishe posho hizo za kampeni maaana hawatofanikiwa, la sivyo wakae kimya au la tutaviorodhesha.
 
usiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Usichokijua nikuwa mtumiaji wa mwisho (ambaye ndio mteja wa hizo huduma ) ndio anachangia kwa kiasi kikubwa serikali na pia tambua kwenye makati ya kutuma na kutoa fedha, vocha za kuingeza mda wa maongezi napo pia tulikuwa tukilipia VAT toka mwanzo
 
Tozo hii ina wanufaisha watanzania Wengi kuliko wanao lalamika.
Vile vyombo vilivyo lipwa kwa ajili ya kupinga makato haya ya simu virudishe posho hizo za kampeni maaana hawatofanikiwa, la sivyo wakae kimya au la tutaviorodhesha.
Ebu vitaje
 
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.

Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Mitandao ya simu inafacilitate transactions kila kitu bado kipo under BOT na Banks...

Hivi unajua mteja mkuwa wa Mabenki ni Mitandao ya Simu ?, Sababu hizo pesa zinakuwa deposited huko..., Mitandao ya Simu imeweza kufikisha huduma pale ambapo Banks zimeshindwa (vijijini na kwenye mifuko ya kila mtumiaji wa simu) Banks walishindwa kupata wateja kufungua akaunti wala wasingeweza kufika mpaka vijijini ndani ndani kuwafikia watu

Kutokana na Teknolojia na kazi nzuri aliyoifanya Vodacom Mpesa ya kufundisha na kufikisha mawakala kila kona ya Tanzania watu wengi wakawa financially included...

Tuache Siasa kwenye mambo muhimu mwisho wa siku tunachotaka ni convinience kwa mtumiaji
 
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.

Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Acha ujinga
 
Kwa hiyo
Tozo hii ina wanufaisha watanzania Wengi kuliko wanao lalamika.
Vile vyombo vilivyo lipwa kwa ajili ya kupinga makato haya ya simu virudishe posho hizo za kampeni maaana hawatofanikiwa, la sivyo wakae kimya au la tutaviorodhesha.
Kwa hiyo wamefanya makusudi kuwafarakanisha wananchi na mitandao ili turudi kutumia huduma za benki eeeh??
 
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.

Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Umezaliwa Kanda ya ziwa
 
Makampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
Sio tu huna, hata hizo akili kidogo ulizopewa na Mwenyezi Mungu pia huwezi kuzitumia.. Na hiyo ndiyo hasara uliyonayo..!
 
sio makampuni ya simu yanayovutana na serikali, bali ni serikali inayovutana na wananchi, kwa hiyo ni serikali nayo iache kuhujumu wananchi.
Mahali nilimdharau SASHA ni pale alipomteua Mwigulu kuwa Waziri wa Fedha. Huyu Bw ni Mshamba na ni mzigo kwa Serikali.
 
Makampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
Kwani kuna sehemu wamevutana na serikali?tatizo ni kwa hao wanyonge kwani hizo tozo hayo makampuni ndio wanazilipa au wao wanakusanya tu?na watu kama nyie endapo kodi hiyo itapunguzwa , utakuja tena kumpongeza Rais, yaani huwa hata hamueleweki mko upande gani
 
Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki.

Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki ndio wanapaswa kujihusisha na jukumu la kutuma na kupokea fedha.
Kazi ya technology ni kurahisisha maisha na kufanya maisha yawe mepesi katika suala LA muda , sasa usitake kuturudisha kwenye ujima kwamba kila ukihitaji pesa lazima uende ukapange foleni bank, acha bank ibaki sehem ya kuhifadhi pesa tu , tukitaka kufanya miamala acha tuendelee kutumua sim , ili kufanya maisha yawe mepesi
 
Kumbe bado wale maadui watatu wa taifa aliowasema Nyerere bado wapo
 
usiwe mgumu kuelewa, kodi/tozo unayo katwa ni kwa ajili ya hudumu utakazo zitumia ww mwenyewe au ndugu zako, mfano;
1.Brabara, ujenzi wa barabara ktk maeneo mbalimbali.
2.Shule/ujenzi wa vyumba vya kusomea.
3. ujenzi wa zahanat/vituo vya afya.
4. n.k
Hivyo fedha unayo katwa ni kwaajili ya manufaaa yako mwenyewe, Serikali inacho kifanya ni kukusanya tu.
500 yako peke yako haiwezi kufanya chochote ila tunapo changia sote kama watanzania ndio inaleta tija. Umoja ni nguvu.
Tusi hujumu Jitihada za serikali ya awamu ya 6.
Mjinga kabisa. Nakupa miezi mitatu iwapo hii huduma itaendelea kukandamizwa. Baada ya miezi mitatu nitaomba unioneshe hospitali na barabara zitakazojengwa kkwa fedha husika.
 
Huyu jamaa inaelekea ni wa miaka ya karibuni hajui kitu inayoitwa TMO, EMO nk ambayo imekuwa ikitumika miaka mingi
 
Makampuni ya Simu za mikononi yamesha VUNA vya kutosha.
sasa wakubali yaishe, wasijaribu kuvutana na serikali, maaana tunazo habari za baadhi ya makampuni yakivitumia baadhi ya vyombo vya habari kama vile TV, Radoo, Magazeti na mitandao ya kijamii kujaribu kupotosha ili waendelee kupiga pesa kama kawaida.
Tunasema Mitandao yote ya simu acheni kuihujumu Serikali.
Mpaka sasa sijakuelewa unasema nini tunaolalamika ni sisi Wananchi maana ndio tunaopata maumivu
 
kwa hiyo wewe huoni kama wanarahisisha huduma za kifedha, inaonekana umezaliw na umekulia mjini hujafikiria kuhusu wanaokaa vijijini ambako ninauhakika hata baadhi hawazifahamu benki
Kifupi jamaa ana akili mgando.

Anaweza kusema jukumu la kutoa habari ni la magazeti ya kuchapwa na watu wabadilishane mawazo kwa kuandika "Barua za Wasomaji" kwenye print media, mitandao kama Jamiiforum haina haki ya kukutanisha watu wajadiliane.

It's basically the same argument.
 
Back
Top Bottom