Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

SHETANI NI MUISLAM

MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANI

Kitabu Asili ya Majini Ukurasa wa 20 INASEMA: Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanawe kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu, NI MTUME MUHAMMAD TU NDIE ALIYE MSILIMISHA SHETANI AKAWA MUISLAMU.

Haya sio maajabu, maana tumesoma hapo kwenye Quran Surat Al Anaam kuwa Shetani anakaa kwenye NJIA ILIYO NYOOKA YA ALLAH. Na Njia iliyo nyooka ni UISLAMU Quran 6 aya ya 126 Na hii Dini ya Uislam, ndiyo Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka.

Ndugu zanguni, kwa mara nyingie tumejifuza kuwa Shetani ndie kiongozi wa dini ya Uislam. Shetani ndie yupo kwenye NJIA ILIYO NYOOKA NA AMEKETI HAPO. ZAIDI YA HAPO, SHETANI AMESILIMISHWA NA MUHAMMAD kama tulivyo soma katika Kitabu cha Asili ya Mini Ukurasa wa 20.
Wewe jamaa unateseka sana na mambo ya watu! Kama na kwenye maisha ya kawaida utakuwa hivihivi mwisho lazma uwe mchawi wewe! maana kama mambo huyapendi na hayakuhusu unayafatilia ya nini?
Yaani unachangia kitu tofauti na mada iliyopo mezani! Lengo...? Halafu...?

Jikite kwenye maada kuonesha umepevuka kimwili na kiakili! Mbona yesu hakuwa na chuki hizi,zaidi aliwapenda,aliwafuata kwa wema,na alikua karibu zaidi na waovu! Pole sana mkuu kwa mateso uliyochagua kuishi nayo!
 
Ni lazima tuliokoe taifa kwenye upumbavu na wapumbavu ni hatari kubwa sana taifa kuongozwa na mitazamo ya wapumbavu
 
Acha uongo, meseji zinaenda na zinarudisha ujumbe huu "sina meseji nitumie kifurushi"
 
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?

Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?

So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.

Acheni utoto nyie
aseh ww jamaa ulichogundua hata mm nilishakionaga toka zaman ukiandika sex msg haimfik mlengwa
 
Nionyeshe maandiko yanayosema shetani alisilimu
Kwa hiyo hayo niliyo andika siyo maneno ya mudi boy ...kuwa Adam na hawa awakufanya jitihada hili shetani atubie dhambi zake 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Sasa si afadhali "sex" kuliko kuandika "ngono"

Kiingereza ni lugha rafiki Sana sio kama lugha zingine
 
Kwa hiyo hayo niliyo andika siyo maneno ya mudi boy ...kuwa Adam na hawa awakufanya jitihada hili shetani atubie dhambi zake 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Sio maneno yake
Halafu nimekwambia lete maandiko ya hadithi za Mtume au Qur’an na sio ya maneno ya wasiojulikana
 
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?

Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?

So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.

Acheni utoto nyie
Wacheck customer care WhatsApp wachane waache ushamba usiwahurumie wataifungulia... Mie niliwachana wayback 2021 walinifungulia ndani ya nusu saa tu, hayo maneno wameya-ban since ulipokua unakaribia uchaguzi 2020 mbaya zaidi wameblock hadi maneno ya kawaida kabisa hayana hata ukakasi wowote ndo chanzo cha mie binafsi kuamua kuwapandia hewani.
 
Mbona kwangu inakubali
Baadhi ya laini wamezi configure kugoma kutuma hayo maneno kwangu ilkua voda na tigo zote ilkua na tabia moja.. ila 2020 kipindi cha uchaguzi mkuu wakati na Twitter inazimwa ndo waliweka huo ujinga hata maneno mengi ya kisiasa na misemo ya lugha nyingi za siasa hasa ya kukosoa sisiem waliyablock yote ilkua hata ukiandika SMS ukaandika na jina la Lissu tu ngoma haiendi au Chadema. Nafikiri lilikua wazo la serikali ya mwendazake kwa kipindi hicho.
 
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?

Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?

So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.

Acheni utoto nyie
Pole sana mkuu na upwiru ulionao na hizi mvua mvua na meseji haziendi, sabuni itakuhusu
 
Back
Top Bottom