Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

Mitandao ya simu Tanzania, kwanini mmezuia neno "SEX" kwenye meseji?

Hhahahahahah.... Kweli?? Hebu ngoja nithibitishe nimtumie mwanangu
 
Nimejarabu na imekubali, either shida ni simu yako au uache pombe na mihadarati mkuu📌🔨
 
Back
Top Bottom